Maajabu ya TUNDULISU na wakovu wa watanzania

Joined
Jul 30, 2025
Posts
97
Reaction score
324
Kila nikiangalia hii picha na bubujikwa na machozi ya furaha hakika mpendwa wetu yupo mahari salama hapo wakoloni wanajua wanamkomoa

Wakoloni walimuweka gerezani Nelson Mandela wakidhani wanampunguza makali kumbe ndo wanamjenga kiakili na ukomavu na ndo tunashuhudia kwa tundulisu Leo hii yupo gerezani

TUNDULISU atatoka gerezani na kuchukua nchi na kuiongoza katika mwelekeo wa demokrasia ya kweli na haki kwa kila mtu na Kila mmoja wetu atakua na haki ya kutoa maoni kwa serikali yake

Pia wananchi wote tutakuwa na haki sawa kwa kila kitu kuanzia huduma za kijamii, mahakamani n.k na Kila mtu atakua yupo na uhuru wa kuamua nani awe kiongozi na si kupangiwa na watawala nani awaongoze wananchi kama Sasa hivi

SI kwamba nawachukia viongozi wa CCM hapana ila tunahitaji fikra mpya na viongozi wenye kalama ya uongozi ambao mfano wake ni lissu na heche

Mungu ibariki TANZANIA, Mungu mbariki TUNDULISU na uibariki CHADEMA

images.jpeg
 
Mungu ibaliki TANZANIA, mungu mbaliki TUNDULISU na uibaliki CHADEMA
Screenshot_20250703-140259~2.png
 
Account imekuwa hacked au🤣🤣🤣
 
UTOFAUTI WA WEWE LUCAS WA CHADEMA NA YULE WA CCM NI MUANDIKO,JINA LA MWISHO NA MANENO YA NDANI YA AYA...JITAHIDI NA HAYO MUENDANE...
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom