Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Aina mpya ya simu ambazo ni saa itakayokuonesha simu ya mtu anayekupigia kwenye ngozi yako
tumeendelea sana katika teknolojia kwa aina hii ya saa Riot ambazo zina uwezo wa kuona mesage za facebook, twitter na notification ya apps za kwenye simu yako kwenye ngozi yako
saa hii inauzwa dola 120 sawa na 192,000 za kitanzania


