Joshua Haji
Senior Member
- Nov 4, 2011
- 108
- 20
Inachekesha sana...
Tanzania ni nchi ya 31 kwa ukubwa Duniani ikiwa na eneo la ardhi (nchi kavu na maji) lenye kilometer za mraba 945,087.
Nigeria yenyewe ni ya 32.Duniani ikiwa na 923,768km sq....
sasa hapa Utagundua kitu,
Nigeria inawezaje kuwa na watu zaidi ya Millioni 300. . . Alafu Tanzania kuna watu Millioni 47 tu...
inamaana sisi hatuna mbegu?
Nigeria imewezaje kuwa na Uchumi mzuri vile kuliko Tz...
Isitoshe Siasa zao sio tulivu tokea uhuru , kama ni Rasili mali hata sisi tunazo tena ni nyingi mno!!!
Tumekosea wapi jamani???

tatizo ni kutokua na ubalozi wa ISRAEL nchini that's all
Inachekesha sana...
Tanzania ni nchi ya 31 kwa ukubwa Duniani ikiwa na eneo la ardhi (nchi kavu na maji) lenye kilometer za mraba 945,087.
Nigeria yenyewe ni ya 32.Duniani ikiwa na 923,768km sq....
sasa hapa Utagundua kitu,
Nigeria inawezaje kuwa na watu zaidi ya Millioni 300. . . Alafu Tanzania kuna watu Millioni 47 tu...
inamaana sisi hatuna mbegu?
Nigeria imewezaje kuwa na Uchumi mzuri vile kuliko Tz...
Isitoshe Siasa zao sio tulivu tokea uhuru , kama ni Rasili mali hata sisi tunazo tena ni nyingi mno!!!
Tumekosea wapi jamani???
Tumechagua kuwa kama tulivyo kaka. kama unabisha jifunze Singapore ilivyokua na iliko sasa bila ya madini wala mafuta.. hata eneo lao ni kama mkoa flani apa Tized. Angalia system za wenzetu, angalia thinking za wenzetu walioendelea utaona tumechaguaje...... wajiriwa tunategemea mshahara na mtu akipokea mshahara unaisha muda mfupi tu.. tena pengine kulipia mikopo alionunulia gari kwa mfano.... Utafiti unaonesha Wahindi wakipokea pesa inazunguka mara saba kabla ya matumizi.. sisi tukipata tu hela tunatumia apo apo.. kesho njaa ile ile (huu ni mfano binafsi tu wa Mtanzania)
Mentality/Thinking yetu imetufanya kuwa sisi... tusipobadilika kama Taifa.. tutaendelea kuwa omba omba tu na wakati tunaamka tutakuwa na hadithi ''hapa pamewahi kuwa na madini'' You name it.
Inachekesha sana...
Tanzania ni nchi ya 31 kwa ukubwa Duniani ikiwa na eneo la ardhi (nchi kavu na maji) lenye kilometer za mraba 945,087.
Nigeria yenyewe ni ya 32.Duniani ikiwa na 923,768km sq....
sasa hapa Utagundua kitu,
Nigeria inawezaje kuwa na watu zaidi ya Millioni 300. . . Alafu Tanzania kuna watu Millioni 47 tu...
inamaana sisi hatuna mbegu?
Nigeria imewezaje kuwa na Uchumi mzuri vile kuliko Tz...
Isitoshe Siasa zao sio tulivu tokea uhuru , kama ni Rasili mali hata sisi tunazo tena ni nyingi mno!!!
Tumekosea wapi jamani???
Nyerere, ndiye aliyekosea, uchumi alikuwa nao lakini aliukalia, alishindwa kabisa kabisa katika mambo ya uchumi kwa miaka yote aliyoongoza hii nchi, zaidi ya 24. Aliiwacha nchi ni maskini wa mwisho duniani.
Alipong'atuka life expectancy ya Mtanzania ilikuwa hata miaka 40 haifiki. Jinsi alivyoshindwa katika huduma za afya.