Maajabu ya senene

Hahahaaaa sioo kweliii aisee...alafu nina ham nao hao wadudu...
 
Ukitaka kuongeza nguvu za kiume kunywa maji ya betri na cement tu utapiga hadi bao 17,hailali masaa 8..loading error....
 
Ukitaka kuongeza nguvu za kiume kunywa maji ya betri na cement tu utapiga hadi bao 17,hailali masaa 8..loading error....

Angalia usije uwa watu bila kukusudia. Kuna jamaa aliambiwa dawa ni kunywa maji ya majivu na kweli alifanya hivyo!
 
Mwisho wa siku tutaambiwa tule ma.vi kutibu nguvu za kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…