Hakuna ugonjwa mzuri lakini cancer ni moja ya magonjwa hatari sana kuwahi kutokea duniani ,it is a death ticket
Binadamu sasa tunaishi katika kipindi kigumu sana ambacho akijawahi kutokea katika maisha ya binadamu, Dunia sio sehemu salama ya kuishi tena ingawa wanasiasa wanatudanganya tupo salama
Kama ulivohainisha kansa inampata mtu yeyote katika rika lolote na hapa juzi juzi imebainika out of paper work kansa ni ugonjwa ambao sometimes unatokea tu hata kama zile risk factors zote hauna
Madhara ya milipuko ya nyuklia radioactivity imesababisa jamii nyingi za kizungu kupata kansa na ndio maana watoto wengi wa kizungu wanapata sana leukemia
Maumivu yake ni hatari sana Dr mmoja aliwahi kusema mara nyingi tunawarelief wagonjwa wa kansa na painkillers strong kama morphines na pethidine ili wasife wakiwa wanateseka na maumivu hatari