Kama vile sijakusomaSaratani (cancer) hushambulia chembe hai za mwili na huenea kwa kasi au taratibu.
Maajabu ya saratani ni kuwa haichagui mzee, kijana au mtoto. Tajiri au masikini, rangi au kabila. Saratani ni ugonjwa wa hatari.
Huwa nikialikwa Birthday ya 75,80,85,90 huwa ninawanunulia zawadi kwa kukwepa mishale mingi.Hii dunia ina mengi..vyanzo vingi vya kifo vimeandaliwa ili tufe..kuishi kwetu kumekua kwa mashaka sana miaka hii..ukikoswa na malaria,kansa,ukimwi,kisukari,ajali n.k vyote vina kutazama..eee mola tuepushe.
Unasema?Bora ngoma kuliko hiyo kitu asee
Afadhali tufungue na bendi...Bora ngoma kuliko hiyo kitu asee
Oncologist.... Utashusha kuhusu cancer IPI coz they are millions of themSiku moja nitashusha uzi kuhusu hii kitu,
DengueHii dunia ina mengi..vyanzo vingi vya kifo vimeandaliwa ili tufe..kuishi kwetu kumekua kwa mashaka sana miaka hii..ukikoswa na malaria,kansa,ukimwi,kisukari,ajali n.k vyote vina kutazama..eee mola tuepushe.
Karibu utuhabarishe MkuuSiku moja nitashusha uzi kuhusu hii kitu,
Hee! Tena Mkuu, chafwaaOncologist.... Utashusha kuhusu cancer IPI coz they are millions of them