Jana nilipokea simu kutoka kwa rafiki angu mmoja (wa kike) akaniita CONTROLA naomba uje home nisaidie kufunga TV yangu ukutani, nikamtania nikamwambia ''naona umejikakamua umevuta flat, au siyo?'', akanichekea pale basi. Nikamalizia mambo yangu then nikaenda nikamkuta anaangalia TV. Kweli...