Maajabu ya popo

Je popo anaona au anatumia hiyo echolocation kugundua hapa kuna tu au ukuta ?
popo anatumia echolocation kwa ajili ya direction tu na wala haiusiani na kuona au kutoona, hawa viumbe kitaalamu ni NOCTUNAL yaani wako very active during night lakini haimaanishi hawaoni.. mnyama kama chui ni nadra kumuona kwa mchana kwakua yeye muda wa usiku anakua na clear viewing capacity kutokana na mechanism ya vision alionayo.. lakini mfano swala yeye anakua active kipindi cha mchana kitaalam (DIUNAL) ila usiku si kwamba haoni lakini hana uwezo mkubwa wa kuona.
Tukirudi kwa popo, wanauwezo wa kuona kipindi cha usiku na ndio maana wapo active usiku katika shughuli za kujitaftia chakula na sio mchana. NAHISI NIMEJIBU SWALI LA MSINGI HAYO MENGINE YALIKUA BY THE WAY
 
Master plan do you remember me... joh whatsap
 
Last edited by a moderator:
Eti popo anakuny.a au anatapika tu?
 

Noted mkuu, ila hii thread haina copyright, unaweza kuongeza kadiri unavyoweza
 
Virusi vya ebola huishi ndani ya popo bila kumudhuru...ajabu jingine la popo.
 
Kwa hiyo Jeepers Creepers nae ni aina ya popo ila mkubwa?
 
Popoooooooooo kama kadawia ukimuonaa kama ndege vile kumbe mnyamaaaa popooooo #macregan
kuna aina nyingi za popo mleta mada kazungumzia aina moja popo wa upanga wanatafuta chakula kibaha wanalala mjini hawa uishi kwenye miti upanga wana mistar mistar na wanaona sana kwani ikitokea wakaanguka urudi pale2
 
popo ni miongoni mwa wanyama wajinga kabisa na ndo maana ukisikia timu imesajili striker popo!ujue imesajili striker mjinga mjinga
 
Kumbe popo wanaweza kutumika kuzuia uzalianaj wa mbu na kupunguz malaria
Ni kweli hili tatizo la mbu +malaria , kwa mfano dar es salaam linaweza kwesha kabisa kama tukiwa na popo laki moja kwa mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…