Maajabu ya polisi wa Tanzania

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,506
Kitu ya ajabu sana.
Yaani leo Polisi Morogoro wamepagawa maximum ya macho zile gari ya Matunga zote ya mikutano ya kampeni ya mgombea udiwani Kata ya Kiwanja Ndege manispaa ya Morogoro na kupora laptop master ya matangazo. Tulipofika kituo Kikuu cha polisi kujua hatima ya laptop hiyo na sababu za kuporwa kwake tumeambiwa haiwezekani kurejesha hadi tulipie gharama za mabomu yaliyopigwa na polisi.
Jamani, mabomu watumie polisi, yalipiwe na raia? Kweli?
 
Kama ni issue kubwa basi Police Morogoro na Imani watatoa official statement.

Mtoa mada RAIA hata siku moja halipii mabomu ya machozi yaliyopigwa ktk operation za Police.
 
Kabla ya hapo, yalisha nunuliwa na kodi yetu,labda kama mnalipishwa faini
 
Kitu ya ajabu sana.
Yaani leo Polisi Morogoro wamepagawa maximum ya macho zile gari ya Matunga zote ya mikutano ya kampeni ya mgombea udiwani Kata ya Kiwanja Ndege manispaa ya Morogoro na kupora laptop master ya matangazo. Tulipofika kituo Kikuu cha polisi kujua hatima ya laptop hiyo na sababu za kuporwa kwake tumeambiwa haiwezekani kurejesha hadi tulipie gharama za mabomu yaliyopigwa na polisi.
Jamani, mabomu watumie polisi, yalipiwe na raia? Kweli?

Mhe. Mwigulu Nchemba hapa ndo Tanzania tulipofika kweli????
 
Hii Nchi INA mengi ya kuvutia.....haiwezekani hivi vioja vya wakuu wetu tukavifanya vivutio.......bila shaka wapo ambao wangependa kuja kuona vituko kama hivyo.
 
Polisi wanachangia ukame msishangae njaa kutamalaki kila wilaya ni kutokana na mabadiriko ya tabia nchi inayosababishwa na mabomu ya machozi yanayolipuliwa kila siku, moshi wake unaharibu tabaka la ozone.

Mungu aingilie kati kwakweli vinginevyo tutaangamizwa na kibri ya rais na jeshi lake.
 
Back
Top Bottom