Asante sana kwa nyongezaAsali ni tamu lakin ukila kupita kiasi inakuwa chungu. Pia asali inatibu wale waliopata majeraha ya kuungua na moto au maji ya moto.
Chukua ngozi ya ng'ombe kipande kidogo kiunguze kwa moto au mkaa upate mkaa au upate unga wake kisha chukua huo unga wa wa ngozi ya ng'ombe changanya na asali halaf paka kwa jeraha.
Tumeelewana?????
Naanza kuizingatia kuanzia leoJe wajua kuwa kijiko kikubwa cha π― asali kinatosha kumuweka mtu hai kwa masaa 24?
π Je, unajua kwamba moja ya sarafu za kwanza duniani ilikuwa na alama ya nyuki?
π Je, wajua kuwa asali ina vimeng'enya hai?
π Je, wajua kuwa asali ina dutu inayosaidia ubongo kufanya kazi vizuri?
π Je, wajua kuwa asali ni miongoni mwa vyakula vichache duniani vinavyoweza kukimu maisha ya mwanadamu kivyake?
π Je, wajua kuwa nyuki waliwaokoa watu kutokana na njaa barani Afrika?
π Je, unajua kwamba propolis, inayozalishwa na nyuki, ni mojawapo ya dawa za asili zenye nguvu zaidi?
π Je, wajua kuwa asali haina tarehe ya mwisho wa matumizi?
π Je wajua kuwa miili ya wafalme wakubwa duniani ilizikwa kwenye majeneza ya dhahabu kisha kufunikwa na asali ili kuzuia kuoza?
π Je, unajua kwamba neno "honeymoon" linatokana na utamaduni wa watu waliooana kula asali ili kuongeza uzazi baada ya ndoa?
π Je, unajua kwamba nyuki anaishi chini ya siku 40, anatembelea angalau maua 1,000, na hutoa chini ya kijiko cha asali, lakini kwa nyuki, ni kazi ya maisha yote?
Asante, nyuki wa thamani..! ππ
Credit: Jrβ’ CreatorsView attachment 3206413
Je, unajua kwamba nyuki dume ufanya mapenzi mara moja tu na hupoteza maisha mara tu
Mmh! Atar san ππJe, unajua kwamba nyuki dume ufanya mapenzi mara moja tu na hupoteza maisha mara tu baada ya tendo?
Je wajua kuwa kijiko kikubwa cha π― asali kinatosha kumuweka mtu hai kwa masaa 24?
π Je, unajua kwamba moja ya sarafu za kwanza duniani ilikuwa na alama ya nyuki?
π Je, wajua kuwa asali ina vimeng'enya hai?
π Je, wajua kuwa asali ina dutu inayosaidia ubongo kufanya kazi vizuri?
π Je, wajua kuwa asali ni miongoni mwa vyakula vichache duniani vinavyoweza kukimu maisha ya mwanadamu kivyake?
π Je, wajua kuwa nyuki waliwaokoa watu kutokana na njaa barani Afrika?
π Je, unajua kwamba propolis, inayozalishwa na nyuki, ni mojawapo ya dawa za asili zenye nguvu zaidi?
π Je, wajua kuwa asali haina tarehe ya mwisho wa matumizi?
π Je wajua kuwa miili ya wafalme wakubwa duniani ilizikwa kwenye majeneza ya dhahabu kisha kufunikwa na asali ili kuzuia kuoza?
π Je, unajua kwamba neno "honeymoon" linatokana na utamaduni wa watu waliooana kula asali ili kuongeza uzazi baada ya ndoa?
π Je, unajua kwamba nyuki anaishi chini ya siku 40, anatembelea angalau maua 1,000, na hutoa chini ya kijiko cha asali, lakini kwa nyuki, ni kazi ya maisha yote?
Asante, nyuki wa thamani..! ππ
Credit: Jrβ’ CreatorsView attachment 3206413
Thubutruuuuuuuuu...............chips yai imeshindikana kuanzia uswahilini mpaka kwenye mageti.............chips yai sasa inalea wajukuu kama si vitukuuu.......maana dada zetu waliliwa mpaka wakaliwa tena........Je asali inaizidi chips mayai?
Thubutruuuuuuuuu...............chips yai imeshindikana kuanzia uswahilini mpaka kwenye mageti.............chips yai sasa inalea wajukuu kama si vitukuuu.......maana dada zetu waliliwa mpaka wakaliwa tena........
HahahahaThubutruuuuuuuuu...............chips yai imeshindikana kuanzia uswahilini mpaka kwenye mageti.............chips yai sasa inalea wajukuu kama si vitukuuu.......maana dada zetu waliliwa mpaka wakaliwa tena........
ingekuwa hivi kwa binadamuJe, unajua kwamba nyuki dume ufanya mapenzi mara moja tu na hupoteza maisha mara tu baada ya tendo?