Maajabu ya nyota aina ya comets

Maajabu ya nyota aina ya comets

Iskanda

Senior Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
100
Reaction score
10
[13:50, 4/17/2015] alphilly: MAAJABU YA NYOTA AINA YA COMMET/COMET.

Katika Ulimwengu tunaoishi kuna maajabu Mengi sana ya aina yake. Kamamtakuwa na kumbukumbu mzuri basi mtakuwa na kumbukumbu ya Sayari zilizopo Ulimwenguni ambazo zimezungukwa na Nyota za aina mbalimbali. Leo hii tutazungumzia nyota aina ya COMMET/COMET.

COMMET NI NINI?
------*-**-------**---*-----
"DIRTY SNOWBALL" Hii ni aina ya nyota inayoundwa kutokana mabaki au vipande vya nyota na sayari ambayo kuumbika kwake huchukua mabilioni ya miaka na huwa na mikia. Huanza kuoneka kama wingu la jiwe kubwa(ROCK CHUNKS) Lenye barafu, kwa sababu ya force of gravity huvutwa na kusogea karibu sana na Jua, hapo joto huzidi na kuanza kuyeyuka hapa ndipo COMET Huumbika, Baadhi ya maeneo wakati huo sehemu ambayo haijafikiwa na JOTO hutengeneza mkia.

KITU GANI KINAFANYA COMET ITEMBEMBEE AU IZUNGUKE KWA KASI?

When the COMET is in our solar system, most of gravity affecting the comets motion is due to the sun. As a comet gets closer to the sun it moves faster and faster, mliosoma physics mtaikumbuka hii theory "the closer an object to the sun, the stronger the suns gravity acts on it" hivyo speed onapo ongezeka karibu na JUA, mkia wa COMET huongezeka na kuwa mrefu zaidi hii ni kwa sababu kuendelea kuyeyuka kabarafu.

MAAJABU YA COMET.

Comet huoneka kwa nadra sa duniani, nahata ikitokea basi huashilia kitu au tulio kubwa kutokea duniani, kwa kifupi comet haitokei duniani kirahisi, kila inapotokea ujue kuna jambo. Moja ya maajabu yaliyo wahi tokea kutokana kuonekana kwa nyota hii ni----------
1. Kuzaliwa kwa MASIAH JESUS CHRIST
Kwa wasoma BIBLIA mtakumbuka NYOTA YA MASHARIKI.
(Mathayo 2:1-2) Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfakme Herode, tazama, Mamajusi wa Mashariki walifika Yerusalem wakisema...Yupo wapi yeye aliezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maans tulions nyota yake Mashariki, nasi tumekuja kumsujudia. Nyota hii ya comet iliwaongoza mama jusi mpka sehemu alikozaliwa MASIHI(MASIAH)

2.COMET nyingine ilioneka Ulaya mwaka 1912, nyota hii iliashiria kuzama kwa Meli ya TITANIC iliyokuwa inatoka Ulaya kwenda America.....wachambuzi wa mambo waliendelea kuingia ndani zaidi na kubaini kuwa kuzama kwa Meli hyo kulisababishwa na ghadhabu ya MUNGU kwa miliki wa ile MELI kwa sababu alipokuwa akihojiwa uimara wa meli yake alijibu kwa jeuri na kusema...Meli hii ni imara zaidi hata Mungu hawezi kuizamisha, ndipo ishara ya nyota ikatokea 1912 na Meli ikazama.

2.1978--Huu ni mwaka uliokuwa na pigo Vatican, nyota ya comet ilioneka mwaka huo waYU 1978 na uliashiria kifo cha POPES JOHN 2
[13:50, 4/17/2015] alphilly: 1978 huu ni mwaka uliokuwa na pigo Kwa Mji wa Vatican. Mwaka 1978 nyota aina ya comet ilionekana, na iliashilia kifo cha POPE JOHN I, na alikufa kifo cha utata kwani mwili wake uligundulika baada ya Siku tatu (3)

3.Comet nyingine ilitokea IRAKI, comet hii iliitwa Hayakutaq ilikuwa ni kipindi cha utawala wa Sadam Hussein na kipindi kabla ya vita kati ya Marekani na Iraki nyota hii iliashilia Vita na kunyongwa kwa Sadam Hussein.

4.Comet nyingine ilitokea America mwaka 2001, comet hii ilionekana NewYork, iliashilia kugongwa kwa Kituo cha kiJeshi cha Marekani- Pentagon na WTC(WORLD TRADE CENTRE)

5. Mwaka 2004, comet ilioneka Indonesia, comet iliashilia kutokea kwa Tsunami, na tsunami ilitokea na kuua watu 80,000 elfu.

6. Comet nyingine ilionekana anga za mbali ikiwa na kasi ya 432milion speed, kwa speed ya Mwanga ikija duniani, mtaalum mmoja wa mambo ya anga raia wa Italia alijulikana kwa jina la Mr. Gayotto, alianza kuifuatilia ile comet, jambo lisilo la kawaida ile comet ilianza kumtafuta Mr Gayotto na ikamgonga na chombo chake kika sambaratika kabisaa.

JAMANI HAYA NI BAADHI TU YA MAAJABU YA NYOTA AINA YA COMET YAPO MENGI.
Pia wakati mwingine tutaingalia Sayari ilipo anga za Mbali iitwayo SUPERNOVA.

NI MIMI ISKANDA G.M.
 
ile iliyoanguka Mbozi Mbeya sio COMET?,kama sio ni nini sasa?@ iskanda
 
ile iliyoanguka Mbozi Mbeya sio COMET?,kama sio ni nini sasa?@ iskanda

comet ikiisha anguka duniani inaitwa Meteorite.
Ila mleta mada hao waliotafiti hayo wanatafuta umaarufu tu hakuna ukweli hapo.
 
Kwa hio kuna uhusiano kati nyota hii na mungu maana imekuwa kama mjumbe ya kufikisha ujumbe kutoka kwa mungu
 
Vimondo huwa naviona mara kwa mara vikpita kwa kasi ya ajabu huku vikiungua (kuwaka moto) na sijawahi kusikia jambo baya limetokea siku hiyo wala nini!
Haya mleta mada na kile kilichodondoka Mbozi mbeya kiliambatana na tukio gani hapa Tanzania?
Kiufupi bado sijakubaliana na hili la kuwa ni sign ya kitu fulani hapa duniani.
 
comet ikiisha anguka duniani inaitwa Meteorite.
Ila mleta mada hao waliotafiti hayo wanatafuta umaarufu tu hakuna ukweli hapo.

Hakuna comet iliyowahi kuanguka duniani, mkuu unaisemea meteor, meteor ikianguka duniani ndo huitwa meteorite. Meteorite ndio kimondo, comet na meteor ni vitu vowili tofauti.
 
Vimondo huwa naviona mara kwa mara vikpita kwa kasi ya ajabu huku vikiungua (kuwaka moto) na sijawahi kusikia jambo baya limetokea siku hiyo wala nini!
Haya mleta mada na kile kilichodondoka Mbozi mbeya kiliambatana na tukio gani hapa Tanzania?
Kiufupi bado sijakubaliana na hili la kuwa ni sign ya kitu fulani hapa duniani.
Cha mbozi ni meteorite na si comet mkuu!
 
vimondo huwa naviona mara kwa mara vikpita kwa kasi ya ajabu huku vikiungua (kuwaka moto) na sijawahi kusikia jambo baya limetokea siku hiyo wala nini!
Haya mleta mada na kile kilichodondoka mbozi mbeya kiliambatana na tukio gani hapa tanzania?
Kiufupi bado sijakubaliana na hili la kuwa ni sign ya kitu fulani hapa duniani.

comet na meteorite ni tofauti wakuu, hebu tafuteni difference
 
Hakuna comet iliyowahi kuanguka duniani, mkuu unaisemea meteor, meteor ikianguka duniani ndo huitwa meteorite. Meteorite ndio kimondo, comet na meteor ni vitu vowili tofauti.

mkuu mimi sio mtaalamu wa haya mambo ila enzi hizo nikiwa form3 ndio tulijifunza hivyo na ndio ilivyoandikwa kwenye kitabu cha physics form3.
 
ile iliyoanguka Mbozi Mbeya sio COMET?,kama sio ni nini sasa?@ iskanda

ile ni comet na ni moja kati ya comets 10 zinazojulikana duniani.... na hakuna zaid ya hizo zinazo julikana duniani.
 
Vimondo huwa naviona mara kwa mara vikpita kwa kasi ya ajabu huku vikiungua (kuwaka moto) na sijawahi kusikia jambo baya limetokea siku hiyo wala nini!
Haya mleta mada na kile kilichodondoka Mbozi mbeya kiliambatana na tukio gani hapa Tanzania?
Kiufupi bado sijakubaliana na hili la kuwa ni sign ya kitu fulani hapa duniani.

Asante kwa swali

Kwanza tambua si kila unachokiona angani kinang'aa na kupita kwa kasi ni comet, vimgine huwa ni nyota za kawaida tu, na kasi hii husababishwa na mzunguko wa dunia.

pili ile ya mbozi pia ni comet...haijulikani lini ili dondoka lndo maana record yake ya tukio haipo...pia kumbuka comet zinazojulikana kudondoka hapa duniaani ni kumi tu. hakuna zaid ya hapo, so swala la kusema huwa unaziona nyingi tu hii sikweli
pia ikitokea ikadondoka ina madhara makubwa, so zote nilizokutajia sio kwamba zote zilidondoka ardhini zingine hudondoka bahari na zingine hupita na kwenda sayari zingine.
 
Mleta mada tuhurumie. Umetupiga vibomu muno!
Utadhani story za babu muuza kahawa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom