Maajabu ya mwanamke

Maajabu ya mwanamke

Status
Not open for further replies.
Joined
May 28, 2013
Posts
91
Reaction score
17
NDIYE KIUMBE ASIYEELEWEKA DUNIA NZIMA.
Pamoja na maendeleo ya kisayansi,na kisaikolojia
bado akili ya mwanamke haieleweki ipo ktk
msimamo upi.Mtaalamu mmoja wa mambo ya
wanawake aliwahi kuandika kuwa "Mwanamke
ndiye kiumbe wa ajabu asiyeweza kueleweka dunia nzima na hakuna mwanaume mwenye akili timamu
atakayedai kwamba ameweza kumwelewa
mwanamke kikamilifu"
++

NDIYE KIUMBE ANAYESHINDANA MWENYEWE ASIWE
KAMA ALIVYO Ktk viumbe wote kama wanaume,simba,s
ungura,miti,twi ga n.k Ni mwanamke ambaye kila uchao anapambana ndani na nje yake Wanaume
wasimwelewe.Mf. akitaka kuishi peke yake bado anataka mume,akililia pesa utasikia anataka real
love,Ukimpa real love utasikia pesa ndo kila
kitu,Ukimpa penzi la kumridhisha bado hilo
halitamfanya aache kusaliti uhusiano kwa madai ya
kubadilisha radha.

NDIYE KIUMBE ASIYEMPENDA MWANAMKE MWENZAKE.
Najua nitatofautiana na wengi ktk hili.Ila ukitaka
kuthibitisha hili,ingia ktk siasa,ktk ndoa,ktk
mafanikio.
Asilimia kubwa ya mahusiano ya wanawake kwa wanawake huisha haraka pale siri zinapowekwa
hadharani.Hata kama mwanamke huyu atapendeza
kwa mavazi,akawa na mume mwema,usafiri bora na
uhakika wa lishe atakaemchukia wa kwanza ni
mwanamke mwenzake na kama kuna urafiki ni wa
kinafiki.Tofaut i ilivyo ktk mahusiano ya wanaume kwa wanaume au viumbe wengine.
 
Aiseee!!! Hvi ulizaliwa na kiumbe gani vile?
 
Organisms wa ajabu sana hawa,ona wanavyo2pa watoto jalalani ambao wametoka kwenye tumbo zao
 
Tuacheni tupumuweee...
Basi muumbeni wa kwenu aliye timilifu.
 
========
Ha ka twi mtu hapa sasa ni bukheee tuma pesa kwa sheriii oh sherii
========
 
pamoja na yote hayo huwezi kuoa mwanaume mwenzio, so jaribu kuwaelewa tuu.
 
Hawa ndio wale watoto wa mtaani waliozaliwa ktkt ya starehe za watu! na wakatokea kulelewa na binamu yake na babu wa kambo!! @#¿

Hawajui thamani ya mama!
 
NDIYE KIUMBE ASIYEELEWEKA DUNIA NZIMA.
Pamoja na maendeleo ya kisayansi,na kisaikolojia
bado akili ya mwanamke haieleweki ipo ktk
msimamo upi.Mtaalamu mmoja wa mambo ya
wanawake aliwahi kuandika kuwa "Mwanamke
ndiye kiumbe wa ajabu asiyeweza kueleweka dunia nzima na hakuna mwanaume mwenye akili timamu
atakayedai kwamba ameweza kumwelewa
mwanamke kikamilifu"
++

NDIYE KIUMBE ANAYESHINDANA MWENYEWE ASIWE
KAMA ALIVYO Ktk viumbe wote kama wanaume,simba,s
ungura,miti,twi ga n.k Ni mwanamke ambaye kila uchao anapambana ndani na nje yake Wanaume
wasimwelewe.Mf. akitaka kuishi peke yake bado anataka mume,akililia pesa utasikia anataka real
love,Ukimpa real love utasikia pesa ndo kila
kitu,Ukimpa penzi la kumridhisha bado hilo
halitamfanya aache kusaliti uhusiano kwa madai ya
kubadilisha radha.

Mimi ni mwanume, ila nadhani wewe ni mwanaume usiyeleweka kuliko wanaume wote! Unamgegeda mwanamke huku ukimwaga maneno matamu oooh nakupenda, wewe ndo malkia wangu, bila wewe siwezi kuishi, kumbe nyuma ya ubongo wako kuna fikra tofauti! Ni ajabu kweli hata mama yako humweli, na bila shaka unahoji weledi wa baba yako kumchagua na kuishi na mama yako!LOL
 
NDIYE KIUMBE ASIYEELEWEKA DUNIA NZIMA.
Pamoja na maendeleo ya kisayansi,na kisaikolojia
bado akili ya mwanamke haieleweki ipo ktk
msimamo upi.Mtaalamu mmoja wa mambo ya
wanawake aliwahi kuandika kuwa "Mwanamke
ndiye kiumbe wa ajabu asiyeweza kueleweka dunia nzima na hakuna mwanaume mwenye akili timamu
atakayedai kwamba ameweza kumwelewa
mwanamke kikamilifu"
++

NDIYE KIUMBE ANAYESHINDANA MWENYEWE ASIWE
KAMA ALIVYO Ktk viumbe wote kama wanaume,simba,s
ungura,miti,twi ga n.k Ni mwanamke ambaye kila uchao anapambana ndani na nje yake Wanaume
wasimwelewe.Mf. akitaka kuishi peke yake bado anataka mume,akililia pesa utasikia anataka real
love,Ukimpa real love utasikia pesa ndo kila
kitu,Ukimpa penzi la kumridhisha bado hilo
halitamfanya aache kusaliti uhusiano kwa madai ya
kubadilisha radha.

NDIYE KIUMBE ASIYEMPENDA MWANAMKE MWENZAKE.
Najua nitatofautiana na wengi ktk hili.Ila ukitaka
kuthibitisha hili,ingia ktk siasa,ktk ndoa,ktk
mafanikio.
Asilimia kubwa ya mahusiano ya wanawake kwa wanawake huisha haraka pale siri zinapowekwa
hadharani.Hata kama mwanamke huyu atapendeza
kwa mavazi,akawa na mume mwema,usafiri bora na
uhakika wa lishe atakaemchukia wa kwanza ni
mwanamke mwenzake na kama kuna urafiki ni wa
kinafiki.Tofaut i ilivyo ktk mahusiano ya wanaume kwa wanaume au viumbe wengine.

KAMA ULISHINDWA KUMWELEWA MAMA YAKO MZAZI NA THAMANI YAKE MPKA UKAWA DUNIANI!
kwanini tushangae ukishindwa kumwelewa mama wa mwenzio!
 
Ulichojaribu kueleza hapo sio tatizo la wanawake pekee, ila ni tabia ya asili ya mwanadamu yoyote iwd mwanamke au mwanaume, kila mwanadam ana tabia ya kutoeleweka, tusiwabebeshe wanawake mzigo wa madhaifu yetu wote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom