Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,850
Siku ukindondoka na watu wakiwemo ndyo wataisoma no
MAAJABU YA MTI WA UBUYU
Baa ndani ya Mti wa Ubuyu.
Upo kwenye bustani ya Limpopo, nchini South Africa
Una upana wa Mita 47.2 (karibu sawa na nusu ya uwanja wa mpira wa miguu).
Unaweza kuingiza watu wazima 40 kwa wakati mmoja
Unakadiriwa kua na umri wa miaka 6,000.
View attachment 461088 View attachment 461089 View attachment 461090
Hiyo ni lugha ya kiswahili KUDONDOKA linatokana na neno KUANGUKAhiki ni kilugha gani πππππ
Mbuyu ni mti,ubuyu ni tunda la mbuyu.Hivi huo mti unaitwa UBUYU au M'BUYU ???
Neno KUDONDOKA linatumika kwenye vitu vyenye asili ya kimiminika mfano maji, sharubati, chai nk. Mbuyu haudondoki bali unaanguka..Hiyo ni lugha ya kiswahili KUDONDOKA linatokana na neno KUANGUKA