sawariya JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 388 Reaction score 359 Jun 9, 2015 Thread starter #41 Picha hii hapa Attachments 1433870647969.jpg 72.6 KB · Views: 457 1433870673322.jpg 70.7 KB · Views: 381
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,494 Reaction score 12,466 Jun 9, 2015 #42 sawariya said: Usafiri unaotumiwa na kampuni hii ya Mohamed interpress kusambaza bidhaa zake hasa kwa hapa dar ni matrekta,caterpillar,listerpeter,au ni mashine zakusaga? Click to expand... Ningekua mimi ndio mkuu wa mkoa wa dar haki ya Mungu hivi vidude ninge vipiga marufuku kuingia katikati ya mji,vina noise pollution ya hatari.
sawariya said: Usafiri unaotumiwa na kampuni hii ya Mohamed interpress kusambaza bidhaa zake hasa kwa hapa dar ni matrekta,caterpillar,listerpeter,au ni mashine zakusaga? Click to expand... Ningekua mimi ndio mkuu wa mkoa wa dar haki ya Mungu hivi vidude ninge vipiga marufuku kuingia katikati ya mji,vina noise pollution ya hatari.
mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,257 Reaction score 2,850 Jun 9, 2015 #43 Wifu katika kiwango chake dogo ameongoza africa kwa kuingiza mshiko ww unakuja na ujinga gn
sawariya JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 388 Reaction score 359 Jun 9, 2015 Thread starter #44 mjukuum said: Wifu katika kiwango chake dogo ameongoza africa kwa kuingiza mshiko ww unakuja na ujinga gn Click to expand... Ili uhakikishe ni wivu uliwahi kukutana na huu usafiri kwenye folen za dar? Isijekua nabishana na ntu yuko nantumbo
mjukuum said: Wifu katika kiwango chake dogo ameongoza africa kwa kuingiza mshiko ww unakuja na ujinga gn Click to expand... Ili uhakikishe ni wivu uliwahi kukutana na huu usafiri kwenye folen za dar? Isijekua nabishana na ntu yuko nantumbo
sawariya JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 388 Reaction score 359 Jun 9, 2015 Thread starter #45 Preta said: Mnayo picha........?....... Click to expand... Ipo hii hapa
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Jun 10, 2015 #46 sawariya said: Ipo hii hapa Click to expand... Wapi.......? ...
sawariya JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 388 Reaction score 359 Jun 10, 2015 Thread starter #47 Hujaiona Attachments 1433962662694.jpg 72.6 KB · Views: 213
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,772 Jun 12, 2015 #48 jMali said: Aisee ni kweli vile vigari vikipita kuku wote wanakimbilia mabandani, mbwa wanabweka, ng'ombe wanalia, magari yenye alarm nayo.....yani utazani parapanda inalia. Click to expand... damn damnnnn.... hahahaaaaa
jMali said: Aisee ni kweli vile vigari vikipita kuku wote wanakimbilia mabandani, mbwa wanabweka, ng'ombe wanalia, magari yenye alarm nayo.....yani utazani parapanda inalia. Click to expand... damn damnnnn.... hahahaaaaa
R ramadhani msengi Senior Member Joined Apr 15, 2015 Posts 158 Reaction score 31 Jun 12, 2015 #49 Kweli ni kero hasa kko