min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,289
- 127,311
Nilipatwa na vidonda vya tumbo vilivyosababishwa na h. pylori, mwanzoni kabla ya kugundua tatizo nilihisi Nina tatizo la moyo, nilitumia pesa milioni na pointi kufanya vipimo mbalimbali kma umeme wa moyo na nk, mwishoni nikapima damu kuangalia nikakutwa na hpylori, nikapata heligo kiti , baada ya hapo nikawa nasumbuliwa na gesi na maumivu ya mgongo na vichomi, siku moja usiku nikiwa kwenye usingizi niliota ndoto, kuna bibi kizee akanielekeza jani hilo apo kwenye picha , nitumie kwa mwezi mmoja asubuh na jioni nitafune majani manne, nilipozinduka usingzini nikatafakari sana hyo ndoto nikaipuuzia , baada ya wiki moja ile ndoto ikajirudia , ikabidi nichukue maamuzi ya kutumia majani hayo kwani kwa mazingira ninayoishi ni mengi mno , nikamaliza mwezi, tumbo likaacha kuuma sasa namiezi tisa sijasikia yale maumivu tena.Nikawaza nitumie yale maono kupiga pesa kwani wenye tatzo hilo ni wengi , nisage unga wake ili watu wasijue niuze, usku wa siku hyo nikaota yule bibi kizee kanijia tena akanionya kuhusu maamuzi yangu , akaniambia hyo dawa napaswa kuwaonyesha watu bure, marafiki wangu wakwanza ambao mda mwingi nakua nao niwana jamii forum wenzangu , nikaona niwamegemee ujuzi kidogo , ili ambae anayafahamu hayo majan aweze tumia
.
.
