erique
JF-Expert Member
- Apr 23, 2010
- 583
- 571
uelewa wako ni hafifu..jifunze kutofautisha ukubwa wa uchumi na kasi ya ukuaji wa uchumi..kenya yaweza kuwa na uchumi mkubwa, lakini ikawa na kasi ndogo ya ukuaji wa uchumi. Tanzania inakua kwa kasi ya wastani wa asilimia 7 kila mwaka, hii inaonesha kuna uwezekano wa Tanzania kuwa na uchumi mkubwa kwa haraka zaidi na hata kuipita kenya kwa miaka michache ijayo. Ni kama China na Marekani, China inaonesha kukua kwa kasi kubwa ukilinganisha na Marekani, na wachambuzi wamesema China inaweza kuja kuipita Marekani kama itaendelea kukua kwa kasi hii.Ebu acha ujinga hivi unajua budget ya Kenya ni kiasi gani kwa mwaka? na umelinganisha na ya TZ ukaona kwamba jamaa wamelala nyie mnaokaba boda boda kukusanya kodi ndio mnakuwa. Wewe ulivyosikia ukashindwa kuchanganya na za kwako na kuona takwimu.
Kiongozi wenu kesha sema hajalibiwi wewe unamjaribu wenzio walikuwa TBC walisema kasifiwa na Donard kawafumua fasta ngoja wakutafute na wewe.