Kama ulikua huijui vizuri Korea Kaskazi ngoja nikueleze;-
Sheria za Korea Kaskazini:-
Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna waislamu wala wakristo marufuku,
Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu vya dini haviruhusiwi kuingia nchini humo,
Korea kaskazini - Rais anaheshimika kama mungu,
Korea kaskazini - kuvaa Vimini marufuku,
Korea kaskazini - Rais akiongea ukisinzia unapigwa risasi, mwaka juzi waziri wa ulinzi alipigwa risasi hadharani kwa kosa la kusinzia kwenye kikao wakati rais akiongea,
Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya marekani,
Korea kaskazini - Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno,
Korea kaskazini - ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi,
Korea kaskazini - hakuna vyama vingi,
Korea kaskazini - hakuna uchaguzi wa rais hurithishana,
Korea kaskazini - kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo,
Korea kaskazini - kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu,
Korea kaskazini - ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani,
Korea kaskazini - ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi,
Korea kaskazini - haina ubalozi tanzania ,
Korea kaskazini - raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi,
Korea kaskazini - raia hawaruhusiwi kuangalia taarifa za habari za nje,
Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo rais wake hajawahi kufanya ziara Africa,
Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo hauruhusu mtu kuomba uraia,
Korea kaskazi - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kutoka nje ya nchi isipokuwa kwa kazi maalum ya kiserikali,
Korea kaskazini - hutumia kalenda ya peke yao, yaani kwao kwasasa ni mwaka 105, huanza kuhesabu mwaka aliozaliwa babu yake rais wa sasa Kim john Un,
Korea kaskazini - kuvaa jinzi marufuku,
Korea kaskazini - Bangi ruksa kuvuta,kulima na kuuza,
Korea kaskazini - ni marufuku kuongea kiingereza ukigundulika unaongea unanyongwa,
Korea kaskazini - ndio nchi inayoongoza kwa mabalozi wake wakistaafu kutorudi nchini humo yaani hutorokea hukohuko,
Korea kaskazini - raia wa korea kusini haruhusiwi kabisa kuingia korea kaskazini, ila raia wa korea kaskazini anaruhusiwa kuingia korea kusini bila viza,
Korea kaskazini - ndio nchi yenye rais mdogo zaidi duniani,
Korea kaskazini - rafiki yake mkubwa ni china,
Korea kaskazini - hakuna mitandao ya kijamii yaani hakuna Fb,twitter na mingine,
Hiyo ndio korea kaskazini.
Hapo kwenye lugha ya kiingereza naona tunge iga kabisa maana mmmmmm
View attachment 1417518
In God we Trust