Maajabu ya Kisiwa cha Jibondo

Hapo ni mipango tu midogo.

Siku hizi kuna teknolojia ya "reverse osmosis" inatafuutwa kubwa ya lita 100000 kwa siku , kila mwananchi atakuwa na uhakika wa lita 30 za maji kwa siku. Na hiyo mashine inaendeshwa kwa solar system.

Kila ndoo wakiuziwa hata shillingi 50 tu itatosha kubadilisha filter zake kila zinapokwisha.

Yaani wasomi wote tulionao huko wizara ya maji hawalijuwi hilo?

Ni ujinga tu:

OK sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…