Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Ni Kijiji chenye kabila la Wapare na dini ya Kisabato. Kipo juu sana kwenye milima ya Upareni yenye msitu mkubwa wa Shengena.
1. Kuanzia Ijumaa saa 10 hadi Jumapili huwezi kupata huduma muhimu za kijamii mfano usafiri wa basi, hiace au Costa.
Maduka yote hufungwa. Huwezi kupata huduma hata ya kununua mswaki au Wakala wa pesa.
Ni muda ambao watu hawafanyi kazi kabisa, hata kama ni kazi ya hela nyingi.
Wanaume wana wivu kupindukia juu ya wanawake, hata kama siyo mke wake, siyo mwanae, siyo ndugu yake. Wivu fulani wa ajabu sana.
Wananchi wakikuitikia Ndiyo, ni ya mdomoni tu, moyoni mwao ni hapana na wako na confidence ya kukukana live mbele hata ya kiongozi. Hata kiongozi mkubwa kugeukwa ni dakika sifuri.
Ni wakulima wazuri sana wa Tangawizi inayolimwe kwenye miteremko mikali sana.