Tangu shule alikuaga modo huyo...anaitwa S.......a kama sijakosea halafu ana kamwili kazuri kweli tangu miaka hiyo yupo hivo hivo mpaka raha sio mimi limwili limetanukaaaaaa lol!
Tangu shule alikuaga modo huyo...anaitwa S.......a kama sijakosea halafu ana kamwili kazuri kweli tangu miaka hiyo yupo hivo hivo mpaka raha sio mimi limwili limetanukaaaaaa lol!
Watu waharibifu sana wa mavazi hivi lini khanga ikashonwa gauni? Jamani khanga ina kazi yake hasa pale ushakoga wamtengea umpendae chakula...eeee unavyo pita jikoni sebureni basi starehe murua ...sharti kubwa la khanga inavaliwa nyenyewe tu...ni mwiko kuvaa na eti nguo nyinginezo ndani yake.
Khanga vazi la makhabaa ....liheshimiwe na watu wote.