Hahahaaaa wewe mkuu dera acha kabisa linakosha moyo wangu siyo hadi nilimshawishi yule wangu wa moyo awe anavaa licha ya yeye kutopendelea hapo awali saivi anavaa. Mmmh hapo sasa ndo utajua raha ya kuwa na mwanamke mwenye shepu nzuri na pako poa halafu anajua kuliinua dera lake kwa mkono wa kushoto huku kapochi kake kakiitembelea mikono yake huku na kule kwa spidi ya kawaida kuacha ile ya magu au elimu yetu!
Mkuu hii kitu mwanamke unampenda na unakuwa unanjoy sana anakuwa anajipitisha chumbani wewe ukiwa umejilaza kitandani au chini sebuleni huku ukisikiliza nyimbo za taratibu uzipendazo!
Mkuu hii kitu mwanamke unampenda na unakuwa unanjoy sana anakuwa anajipitisha chumbani wewe ukiwa umejilaza kitandani au chini sebuleni huku ukisikiliza nyimbo za taratibu uzipendazo!