Khanga ni nzuri ndo maana nikikutana na demu huwa namuomba aniachie khanga ya ukumbusho na ninapenda kuweka juu ya tumbo ninapokuwa napumzika mida ya mchana.
Hahahaaaa wewe mkuu dera acha kabisa linakosha moyo wangu siyo hadi nilimshawishi yule wangu wa moyo awe anavaa licha ya yeye kutopendelea hapo awali saivi anavaa. Mmmh hapo sasa ndo utajua raha ya kuwa na mwanamke mwenye shepu nzuri na pako poa halafu anajua kuliinua dera lake kwa mkono wa kushoto huku kapochi kake kakiitembelea mikono yake huku na kule kwa spidi ya kawaida kuacha ile ya magu au elimu yetu!