Maajabu ya karafuu katikati mwili wa binadamu

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,392
Reaction score
7,863
KARAFUU ni zao linalotokana na mkarafuu. Zao hili halimo katika kundi la vyakula wala vinywaji lakini ni kiungo na dawa muhimu kwa maisha ya binadamu.

Zao hili lina matumizi mengi, ambapo hutumika kama kiungo katika vyakula na vinywaji, dawa kwa maradhi ya tumbo, meno na misuli vile vile hutumika katika kuleta harufu nzuri ya kinywa, mwili na mazingira ya nyumbani.

Pia hutumika katika uzalishaji wa bidhaa nyingine ikiwamo sigara, mafuta ya karafuu ambayo hutumika kwa kuchulia misuli inayouma, kutengeneza dawa za meno na manukato.

Karafuu hutumika kwenye vyakula mbalimbali ikiwamo nyama, biriani, pilau, mchuzi wa masalo na vyakula vikavu kama vile vileja, beskuti na donat na kwa upande wa vinywaji karafuu hutumika katika chai na maziwa.

wataalamu wanasema kuwa karafuu husaidia usagaji mzuri wa chakula tumboni na ni nzuri kwa matibabu ya maumivu ya tumbo, tumbo kujaa gesi na kiungulia. Hivyo, ni miongoni mwa kiungo muhimu katika vyakula kutokana na vinasaba vya aina ya eugnol vilivyomo ndani yake.

Aidha, hutumika katika utengenezaji wa mafuta ambayo husaidia kusafisha damu. Tafiti zinaonyesha kuwa vinasaba vilivyomo katika karafuu vinapunguza sumu katika damu na kusaidia mzunguko mzuri wa damu.

Pia karafuu hutumika katika viwanda kwa ajili ya kutengezea dawa za meno kwa ajili ya kutunza meno na kuondosha maumivu ya meno na fidhi, kung’arisha meno na kuleta harufu nzuri ya kinywa, harufu iliyomo katika karafuu husaidia kuondoa harufu mbaya mdomoni.

Karafuu pia inatajwa kusadia kutibu vidonda vya mdomo na kuimarisha afya ya fizi pamoja na kuzuia meno kuoza.

Madaktari wa meno wamekuwa wakitumia mafuta ya karafuu kwa ajili ya kutibu matatizo ya meno, hii ni kwa sababu mafuta hayo yamekusanya vinasaba vya eugnol ambavyo ni vizuri kwa meno na fidhi.

Karafuu inatumika katika urembo… wanawake hupenda kusugulia mwili (scrub) kwa kuchanganya unga wa karafuu kavu iliyosagwa na mafuta ya nazi na liwa ambapo husuguliwa mwili mzima kwa ajili ya kuondoa uchafu na kuufanya mwili kuwa nyororo.

Sabuni zinazotengenezwa kwa karafuu huondoa harara, vipele na chunusi na hivyo kuifanya ngozi iwe nyororo na yenye kuvutia.

Matumizi ya karafuu na mafuta yake humfanya mtu kuwa mchangamfu… humwondolea uchovu kwa vile karafuu inaiweka akili katika hali nzuri nakufanya ubongo ufanye kazi vizuri. Pia husadia kuondoa matatizo ya kusinzia, kupoteza kumbukumbu na wasiwasi.

Mafuta ya karafuu yanapochanganywa na chumvi, husaidia kuondosha maumivu ya kichwa, matatizo katika mfumo wa upumuaji, kusafisha koo na hutibu kikohozi, mafua na pumu.
karafuu.jpg
 
Mafuta ya karafuu yanapochanganywa na chumvi, husaidia kuondosha maumivu ya kichwa, matatizo katika mfumo wa upumuaji, kusafisha koo na hutibu kikohozi, mafua na pumu.View attachment 2188078
Nimejaribu kutafuta mahali inaongeza nguzu za kiume sijaona daaah
 
Kwa zama hizi kama karafuu haiongezi nguvu za kiume, baasi itakuwa haina maana
 
Pia husaidia kulainisha kiuno...kwa wale wenye viuno vigumu kama jiwe, unachanganya karafuu na mafuta ya nazi au vaseline unamassage kiuno chako kila wakati kinakua laini kinazunguka bila tabu
 
Hiyo mbona kitambo tunatumia ilikuwa inawekwa kwenye chupa ya maji ile unaiacha kwa mda unakunywa sema maji yake machungu sana.
 
Chemsha vizuri karafuu kias cha maji kutaka kukauka motoni then unakuwa unaspray your hair daily .....usispray juujuu bali unapiga shedi kabisa.Matokeo nilianza kuyaona after 3weeks
Kwa wale wenye upara unaoanza vipi inatibu hiyo ?

Kushedi ndio nini mkuu ?
 
Kupunguza unene, weka punje 2-3 za karafuu katika maji ya moto, kunywa maji haya kabla ya kulala usiku.
 
Ooo woow! Ila hata sijawahi fanyiwaga massage.....naona tu kwenye tv
Haha hujawahi kutingwa hadi mwili ufe ganzi?.
Mimi binafsi huwa sipendi masaji lkn kuna wakati u busy huufanya mwili kuchoka na hata kupunguza uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi.
Masaji huwa ndio njia pekee ya kuurudisha mwili katika hali yake....kwa hawa wanajiita therapist..
Epuka zile masaji za watoto wa mjini ambao wako kibiashara hasa kusaka wanaume...hayo ni madanguro.

Fanyiwa masaji hotelini kwa watu wanaojali miiko ya kazi zao...halafu iwe ya karafuu utanishukuru
 
Back
Top Bottom