HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,615
kuna siku nliingia atm ya benki tofauti na kadi yangu(mastercard) ya exim(hizi mpya zenye chip wanazosema zina usalama zaidi) nikaingia nikadraw pesa lakini kumbe sikuangalia vizuri kumbe hiyo atm hasapoti mastercard nlikua na haraka..muamala ukafeli risiti pamoja screen ya atm vikanionesha nikaangalia vizuri nikagundua kua hiyo atm haisapoti mastercard nikahama atm nyingine nikatoa pesa nikaondoka.Sasa cha ajabu baadae exim smartapp ikaniletea taarifa kwamba pesa nilizotoa kwa hyo atm isiosapoti mastercard imetoka na muda ambao nilitoa pesa kama smartapp inavyosema ni tofauti kabisa na mda halisi niliotumia kutoa pesa kwa muamala uliofeli nikashangaa sana nikaenda ofisini kwao nikawaelezea wakanipa form nikajaza wakaniambia nisubiri pesa watanirudishia siku yoyote sasa ni mda umepita lakin sioni pesa yoyote walionirudishia hawa watu niwafanyaje???maana wamenipotezea mda sana
alafu hizo kadi mpya zenye chip wanazosema zina security kubwa mbona wanatudanganya ?????maana nimepoteza imani kabisa na usalama wa pesa zangu.Hzo pesa zilizotoka zimeenda wapi maana me naona kama wameniibia.Je naweza kuwachukulia hatua yoyote? maana sio siri wamenipotezea mda mpaka navyopost hii bado hawajanirudishia