Maajabu ya dawa ya meno haya hapa

Maajabu ya dawa ya meno haya hapa

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,378
Reaction score
3,392

Kuondoa shombo la samaki au kitu chochote chenye harufu kali kama vile kitunguu thomu.
kwa kusafisha, minya dawa ya meno kidogo tu kwenye viganja vya mikono yako kasha tapakaza mikononi mpaka katikati ya vidole kwa ustadi kabisa kisha nawa mikononi yako vizuri na wala huhitaji sabuni ya manukato wala nini, nawa na maji safi na harufu mbaya itakuwa imetoweka

1685617_top2010202_jpeg0e687a2edd21d16fb0f36a00d15798d4

Kusafishia vipuli kama vile vya fedha au dhahabu, bibi yangu binti Hamdani wala alikuwa hahangaki kwenda kwa sonara kusafisha dhahabu zake. Kwa kutumia dawa ya meno, dhahabu zake zilikuwa zinabaki na mng'ao kama vile ni mpya kabisa

1685627_remove-crayon-with-toothpaste_jpeg3d0a93c719a3a2a9af84bfdc026bf72d

Kuondoa madoa doa ukutani au michoro ya watoto ukutani. Ukiwa na watoto wadogo usitarajie nyumba yako kubaki na unadhifu ule ule kama awali kabla ya kuwa na watoto. watoto wadogo kuchafua sana kuta za nyumba, lakini sasa kuna suluhisho, nalo ni dawa ya meno ya aina yoyote inaweza kabisa kusafisha ukuta na kuufanya ung'ae kama mwanzo

1685659_apply-toothpaste-on-pimples_jpeg4b238cbefbbd8b9bdf227b1ce53d0329

Kuondoa mabaka mabaka ya chunusi au makovu ya magonjwa ya ngozi, inaweza kuwashangaza wengi, lakini nawashauri mjaribu. Ili kuondoa tatizo hilo ni vyema mtu mwenye tatizo hilo akatumia dawa hii usiku. kinachotakiwa kufanya ni kupaka dawa ya meno kwenye maeneo yaliyoathirika na mabaka mabaka ya chunusi au maradhi ya ngozi kabla ya kulala halafu asubuhi unasafisha uso wako vizuri na utashangazwa na maajabu ya dawa ya meno. unaweza kufanya zoezi hilo kwa wiki moja kisha uje hapa kutoa ushuhuda.

1685677_neil20care_jpeg5f8409d6859e7f4ef7226689e5d67e1b

Kusafishia kucha. Kama mlikuwa hajui, ni kwamba hakuna tofaui ya kucha na meno, kile kilichotumika kutengenzea meno ndicho hicho hicho kilichotumika kutengenezea kucha, kwa hiyo kama meno yanaweza kusafishwa na kuachwa imara na dawa ya meno, seuze kucha. hebu jaribuni muone maajabu haya ya dawa ya meno. Ndugu yangu lara 1 jaribu maajabu haya upendezeshe kucha zako shosti

1685715_remove-white-rings-from-furniture_jpeg81265b6305b91cb46cfbfaae2927622a

Kuondoa abaka mabaka kwenye meza zetu. sina maneno mengi, jaribuni muone, paka dawa ya meno kwenye kijitaulo kisha sugua kwa umahiri mkubwa, utashangazwa na maajabu ya dawa ya meno.

CC:
Munkari, MankaM, DEMBA, BADILI TABIA, snowhite, Fixed Point Arabela, farkhina, KOKUTONA, Paloma, sister, Ennie, miss chagga, miss neddy, Karucee
 
Last edited by a moderator:
Pia dawa ya meno inaongeza nguvu za kike
 
Halafu pia wakati wa mechi za ugenini hii makitu ya dawa za meno ni muhimu sana...

Unaichukua kidogo sanaaaa halafu unaipaka juu ya abdala kichwa wazi...

Mwanawane hii makitu ukishaipaka halafu ukaizamisha kunako kipochi manyoya...

Luuuh binti lazima aing'ang'anie ndude maana inatengeneza kitu kama muwasho hivi na kijoto flani kama kile cha viksi ikitiwa puani....
 
nitajaribu kufanya hivyo kidevuni, maana nimenyoa ndevu baada ya miaka 10 sasa hayo mapele balaa....
 
Halafu pia wakati wa mechi za ugenini hii makitu ya dawa za meno ni muhimu sana...

Unaichukua kidogo sanaaaa halafu unaipaka juu ya abdala kichwa wazi...

Mwanawane hii makitu ukishaipaka halafu ukaizamisha kunako kipochi manyoya...

Luuuh binti lazima aing'ang'anie ndude maana inatengeneza kitu kama muwasho hivi na kijoto flani kama kile cha viksi ikitiwa puani....
hii ni kwa dawa za meno zote ama?
which one you recomend mkuu?
 
Halafu pia wakati wa mechi za ugenini hii makitu ya dawa za meno ni muhimu sana...

Unaichukua kidogo sanaaaa halafu unaipaka juu ya abdala kichwa wazi...

Mwanawane hii makitu ukishaipaka halafu ukaizamisha kunako kipochi manyoya...

Luuuh binti lazima aing'ang'anie ndude maana inatengeneza kitu kama muwasho hivi na kijoto flani kama kile cha viksi ikitiwa puani....

Mhhhhhhhhhh!
 
Anayehitaji dawa ya meno kwa bei rahisi kabisa yani sawa na bure ani pm.

**Mzigo utakufuata popote ulipo.
 
Back
Top Bottom