Unataka ufe ukiwa unapiz mkuu? Teh? Vipo ila viko stricted ili visiangukie kwa wanaotaka kujiua coz ni maarufu kwa suicide Duniani.Vipo Tanzania hivyo vidonge?
Nimecheka. Wilaya nzima ikirushe kibao. Ila wale wanaojinyonga wanatukosea sana kwa kutoa mavi na mimacho na kutuachia trauma kubwa. Wanunue hizi Mali wafe kwa utamu.Watu hawachelewi kuvimwaga kwenye chanzo cha maji. Wilaya nzima tupige mabao hadi mauti
HahaaWatu hawachelewi kuvimwaga kwenye chanzo cha maji. Wilaya nzima tupige mabao hadi mauti
Lol .. aiseFentanyl ni Dawa halali (painkiller) yenye kutibu maumivu makali sana kama extreme chronic pain kama advanced cancer stage yenye excruciating pain isiyovumilika.
Dawa hii ina opioid zao linayotumika kutengenezea heroin na ina nguvu mara 100 ya heroin yenyewe sasa kidonge kimoja chenye milligrams 2, sawa na punje tatu ndogo za mchele kinatosha kabisa kumtoa binadamu mwenye uzito wowote uhai ndani ya dakika 10 tu. Overdose yake ilimuua mwanamuziki maarufu wa marekani Prince kwa kunywa kidonge kimoja tu.
Kidonge hichi ni cha maajabu sana na wote wanaokufa kwa overdose ya hiki kidonge wanakufa wakiwa kwenye raha kubwa mno simply mtu akinywa kidonge hiki huwa kina bind up na zile receptor za kwenye ubongo zinazohusika na maumivu na kublock maumivu ya aina yeyote na kurelease dopamine hormones zile zinazotolewaga pale mtu anapofikia mshindo kwenye tendo la ndoa zinafanya hivyo kwa muda mrefu na kupelekea organs Muhimu kama moyo kutopata order ya kupump damu na kusimama na kupelekea mhusika kufariki huku akisilizia utamu wa ajabu kama anavyofikia mshindo. Hii ndio inaitwa kufa kunoga. Vipi Unbelievable? Believe it.
Balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukiigusa ikiwa iko nje ya cover yake (blister) inaweza kuingia mwilini.
Etiii?Hata ukiigusa ikiwa iko nje ya cover yake (blister) inaweza kuingia mwilini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kidonge hakipatikani na kinatengenezwa isivyo halali, wagonjwa huwa wanachomwa sindano ambayo ni ngumu Ku overdose.Sasa dozi kamili ni kiasi gani kama kimoja ni overdose?
Balaa tupuKidonge hakipatikani na kinatengenezwa isivyo halali, wagonjwa huwa wanachomwa sindano ambayo ni ngumu Ku overdose.
Zamani kidonge kilipatikana na ni fraction ndogo tu ndio doctor alimega na kumnyeshwa mgonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka ufe kwa raha mkuu!? Utuvune tuliobaki?Niko na Tsh 50,000 kwa mwenye navyo anipe viwili kuna jaribio nataka kufanya
Nife alafu hela zangu na starehe zangu nimwachie nani?