Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
MAAJABU CV YA LUCY MAYENGA.
Sikuwahi kumjua huyu mbunge maana hajawahi kuwa na ushawishi wowote bungeni. Nilimsikia juzi akiwatukana wabunge wanaokosoa serikali akisema eti wakiendelea kumkosoa Magufuli watakosa ubunge, na maisha yatawaendea kombo waanze kulia maisha magumu. Nilimpuuza.
Baadaye nikamsikia akimpongeza mume wake bungeni na kujiita "Mrs.Jamal" lakini nikampuuza pia, maana wapo wenye ndoa wengi na hawatumii muda wa kuongea masuala ya wananchi kusifia wenzi wao. Kuna forums nyingi za kumsifia huyo mumewe badala ya kutumia muda wa kujadili matatizo ya wananchi.
Kitendo cha yeye kutumia muda wa bunge kumsifia huyo Jamal wake kikanifanya nihisi huenda ana shida ya akili. Mbunge analipwa mshahara (11.5M monthly), analipwa posho ya kula na kulala (per diem) akienda Bungeni Dodoma, analipwa posho ya kukaa bungeni (seating allowance) halafu anafika na kuanza kumsifia mumewe? Huu ni wendawazimu.
Nilipofuatilia nikaambiwa huyo Jamal ni mume wake wa 4. Alishaolewa na waume watatu na akaachika. Ndoa yake ya kwanza ilikua mwaka 1998 akiwa na miaka 21 tu.
Lakini yote hayo ni maisha yake binafsi. Sikutaka kufuatilia. Lakini leo alipowatukana wabunge wanasheria kwamba ni viherehere wanatafuta sifa, imebidi nimfuatie kujua ni nani? Ana elimu gani? Ana uzoefu gani?
Katika kufuatilia nimekutana na haya:
1. Jina lake kamili ni *Lucy Thomas Muyenga*
2. Amezawa tarehe 23 Aug 1977 (umri miaka 40).
3. Alianza elimu ya msingi mwaka 1989 akiwa na miaka 12 (sijui alichelewa wapi).
4. Mwaka 1991 akahitimu elimu ya msingi (yani kasoma elimu yote ya msingi kwa miaka mitatu tu. Sijui alikua genius au alionekana kuvunja ungo wakamkatiza).
5. Mwaka huohuo 1991 akajiunga na sekondari ya Kisutu kuanza kidato cha kwanza. Akahitimu mwaka 1995 (miaka mitano, itakua alifeli form two akarudia).
6. Mwaka 1996 hadi 1998 akasoma kidato cha 5 na 6 sekondari ya Jitegemee. (Japokua Jitegemee wenyewe wamekanusha kuwa hakuna mtu aitwaye Lucy Mayenga aliyesoma hapo miaka hiyo).
7. Mwaka huohuo 1998 (kabla hajamaliza kidato cha 6) akajiunga na chuo cha uandishi wa habari TSJ. (Yani akasoma uandishi wa habari na ALevel kwa wakati mmoja).
8. Mwaka 1999 hadi 2000 akajiunga na diploma ya uandishi wa habari hapohapo TSJ (Kwa mara ya kwanza Mayenga akasoma diploma kwa mwaka mmoja, wakati diploma zote za TSJ ni miaka miwili).
9. Mwaka 2003 hadi 2004 akakiunga na chuo cha diplomasia Kurasini kusoma dilloma ya mambo ya nje (Kwa mara nyingine Mayenga akasoma diploma kwa mwaka mmoja, wakati diploma zote za CFR ni miaka miwili).
Ajira:
Aliajiriwa gazeti la Majira kama "reorter" kwa miaka miwili (mwaka 2000 hadi 2002).
Uzoefu:
Mwenyekiti wa tawi la Mikocheni vijana (1988 - 1999).
Huyo ndiye Lucy Mayenga anayetukana wabunge wenzie wanaomkosoa Magufuli. Ndiye Lucy Mayenga (ripota wa gazeti la Majira) anayesema wabunge wanasheria (wasomi nguli wa sheria) kuwa ni viherehere. Mke wa wanaume wanne, na kimada wa wanaume wengi.