Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
- Thread starter
-
- #21
hata wewe badala ya kuandika GEOGRAPHY umeandika eographyWe eography yako zero kabisa! Eti mto unaopita Kongo upeleke maji Pacific!! Unajua unachosema kweli??
mkuu, mimi sio mbongo na sijawahi kuishi EAST AFRICAWabongo tuna tatizo sugu la kuelewa jiografia.
We eography yako zero kabisa! Eti mto unaopita Kongo upeleke maji Pacific!! Unajua unachosema kweli??
Chemistry mbili tofauti... Hapo kuna dume na jikeHiyo ni mito miwili iliyopo Congo, inakutana ila maji yake hayachanganyiki,
ni mto Mayindombe na mto Kasai
hupeleka maji bahari ya Atlantic
hahaha mzee mshana, maji pia yana jinsia ? au ni kiuloziChemistry mbili tofauti... Hapo kuna dume na jike
[emoji23][emoji23][emoji23]ni mfano tuhahaha mzee mshana, maji pia yana jinsia ? au ni kiulozi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ko kunamito dume Na jike humu mbona kuna knowledge nyingi sanaChemistry mbili tofauti... Hapo kuna dume na jike
Imagine maji yanaweza kuheshimiana kiasi hiki wala hayaingiliana hata kinyume lakini binadamu ndio kwanza hugeuza shingo na kutamani kuvuka mipaka halali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ko kunamito dume Na jike humu mbona kuna knowledge nyingi sana
Haya ndio mambo ya kufanyia UtaliiHiyo ni mito miwili iliyopo Congo, inakutana ila maji yake hayachanganyiki,
ni mto Mayindombe na mto Kasai
hupeleka maji bahari ya Atlantic
Imagine maji yanaweza kuheshimiana kiasi hiki wala hayaingiliana hata kinyume lakini binadamu ndio kwanza hugeuza shingo na kutamani kuvuka mipaka halali
Siwezi shangazwa sana na hili kwa maana kuna clip moja niliona, maji ya bahari mbili ambayo pia hayachangamani.
مرج البحرين يلتكيان
Haha we jamaa unatafuta vitaSurat Al rhamani
Hakuna vita mzee, Qur'an hiyo ishaeleza everythingHaha we jamaa unatafuta vita
mkuu, bila shaka wewe ni daktari
ndio maana umeandika kitaalamuHapana mkuu, Mining Engineer.
kabisa, kuna video niliona maji ya bahari fulani mbili tofauti hayachanganyikani ila yanakutanaHaya ndio mambo ya kufanyia Utalii