maajabu ya chitchat!

kweli Paloma kiboko hahaahahahaahahahahahah aiseee
mimi nipo best angu nakuonaga sana.vipi lakini mzima wewe?

Ha ha ha sasa mbona wamsifia mwanamke mwenzio Nivea..? Mie sikuonagi kabisa siku moja nikakuulizia kwa Paloma.. Nikanuniwa wiki nzima.. Wamtishia sana starehe mai waifu wangu wewe lol.. Uko pouwa lakini wewe..?
 
Last edited by a moderator:
Ndo sehemu pekee duniani ambako mwanamke mmoja anaweza kuwa na mabwana wawili,tena mchana kweupeeeeeeeeee!!!!!!!!
Bishanga ndio sehemu pekee unaweza kuja ukamaliza nyege zako na kabao kako kamoja ukaondoka bila physical contact .hii niliisikia kwa Chocs kuwa yale maneno ya Erickb52 huwa yanammalizia shwida zake hapa hapa
 
Last edited by a moderator:
Bishanga ndio sehemu pekee unaweza kuja ukamaliza nyege zako na kabao kako kamoja ukaondoka bila physical contact .hii niliisikia kwa Chocs kuwa yale maneno ya Erickb52 huwa yanammalizia shwida zake hapa hapa

Hiyo inaitwa telephone sex , ulaya unalipia.
Chocs mambo? Kesho nasikia Erickb52 anapanda ndege akazamie yukei,sasa itakuwaje upweke?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga ndio sehemu pekee unaweza kuja ukamaliza nyege zako na kabao kako kamoja ukaondoka bila physical contact .hii niliisikia kwa Chocs kuwa yale maneno ya Erickb52 huwa yanammalizia shwida zake hapa hapa
Koo Bishanga ndo supplier wa hizo nyege au ndo mmalizaji!
 
Last edited by a moderator:
Alaaa kumbee,sitakubali kugawana na mwingine,wangu peke yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…