Na ndiyo sehemu pekee unayoweza ukaoga nnje , pasitokee wa kukuchungulia!
Na ndiyo sehemu pekee unayoweza ukaoga nnje , pasitokee wa kukuchungulia!
hahahaaa...... Mbona wachunguliaji wapo aisee jaribu uone LOL
Mkeo anao wangapi nasikia unafanya zamu na Nyani Ngabu
Maana ya maneno hayo ni UMEBUGI MEEN全日空女友很幸運!
Umeamkaje mpendwa shemeji...unaendeleaje na hali?
hahahaaa...... Mbona wachunguliaji wapo aisee jaribu uone LOL
Hivi Nivea upo..? Nimekumisi rafiki yangu wa kawaida..
Ndo sehemu pekee duniani ambako mwanamke mmoja anaweza kuwa na mabwana wawili,tena mchana kweupeeeeeeeeee!!!!!!!!
Maana yake thank you... ooops! I mean....ah! namaanisha Ahsante! Hii lugha ya mkoloni tusipoangalia itatukoloni.
Hulali?