Maajabu ya ccm mtaa wa migombani

Maajabu ya ccm mtaa wa migombani

chingunduli

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
268
Reaction score
51
Katika uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa katika mtaa wa migombani kata ya segerea Matokeo ni kama ifuatavyo CHADEMA nafasi ya mwenyekiti ilipata kura 547 na CCM ilipata kura 215 na NCCR ilipata kura 205. Uchaguzi wa wajumbe haukufanyika kutokana na kasoro mbali mbali katika karatasi za wagombea ujumbe hivyo ukarudiwa tarehe 21 na Matokeo ni kwamba Wajumbe wa chadema walishinda kwa kura 410- hadi 390 huku wale wa ccm wakipata kura 20-60 mara zote za uchaguzi, ccm waligoma kusign karatasi za Matokeo . Mara baada ya kumaliza uchaguzi ameibuka mtoto wa makongoro Maanga na Masaburi wanatangaza kuwa uchaguzi utarudiwa bila sababu yoyote na mkuu wa mkoa katangaza kurudia uchaguzi siku ya hotoba ya jk na wazee wake. Wanaojua sheria tunaomba mtusaidie ni halali kurudia uchaguzi baada ya kutangazwa ushindi kwa muda wa wiki mbili? Ni nani anyeweza kutengua Matokeo kisheria baada kutangazwa kisheria? Nimeambatanisha karatasi za Matokeo yote
 

Attachments

  • 1419515553985.jpg
    1419515553985.jpg
    52.1 KB · Views: 2,309
  • 1419515620402.jpg
    1419515620402.jpg
    52.5 KB · Views: 1,653
  • 1419515653699.jpg
    1419515653699.jpg
    51.8 KB · Views: 1,569
Hivi kwanza huyo Nicky Mahanga na ndugu zake watoto wa Masaburi si walishahama Segerea wanakaa Chanika?

Hebu watupishe sie.
 
hao watoto wa mahanga na masaburi ni kama akina nani maana najua wote ni walevi mbwa.... kila kitu kiko wazi ushindi ni wa CDM... ebu fanyeni hata mkutano hapo segerea migombani mtuambie nini kinaendelea...ttz ccm bado hawataki kuamini wanaondoka mdogo mdogo...
 
Nataka kujua tu kwa nini Chadema na Nccr hawakushirikiana? Kumbe UKAWA ni maneno tu hakuna utekelezaji
 
Mi niulize tu kuwa kwa nini chadema na nccr wote walisimamisha wagombea?
 
Mi niulize tu kuwa kwa nini chadema na nccr wote walisimamisha wagombea?

Huyu jamaa wa NCCR alitoka CCM akataka kugombea kama ukawa tukamtosa, sasa hivi yuko pamoja na CCM kutaka uchaguzi urudiwe kienyeji.
 
Back
Top Bottom