Maajabu ya CCM mpya: Aliyejiuzulu udiwani CHADEMA kwa ahadi ya ajira TRA, apewa utendaji wa kijiji CCM

Shortcut imemuangusha jamaaa. Kafeli kwenye.matumizi ya pythagorus theorem

Inategemea na ulivyotaka awe. Ila, kaenda fungate South, kakaa hoteli kubwa kubwa, kala bata, karudi baada ya fungate, hujui ziliwekwa ngapi bank na hujui huo utendaji atakaa nao hadi lini. Mahesabu kayapiga.
 
Back
Top Bottom