Ccm na Viongozi wao wa dini uchwara wamejaa unafki usio kifani.
Amani pasipo na haki ni uzwazwa.
Tutaendelea kuhubiri Aman tu , haki tunawaachia nyie . Mana tunajua kabisa tukihubiri haki na Aman, Sisi hatuna chetu kabisa kama tukihubiri haki .
CCM ni sawa na Meli ya Maharamia inayopeperusha Bendera ya Amani
Asante mkuu. Wenzetu wengine wanaubongo wa kukuAsante mkuu kwa kuusema ukweli pasipo na kuyangalia makunyanzi yenu. Kwani angalau unakuwa kibaraka mwerevu.
Asante mkuu. Wenzetu wengine wanaubongo wa kuku
Kamanda tupe link tumuone Rais wetu Lissu leo Arusha akitamka haki haki hakii 😁
Majambazi na magaidi hawawezi kupewa nchi.Ccm na Viongozi wao wa dini uchwara wamejaa unafki usio kifani.
Amani pasipo na haki ni uzwazwa.
Mnalala CCMCCM ni sawa na Meli ya Maharamia inayopeperusha Bendera ya Amani
CCM ni Chama cha Maharamia unakumbuka Bashe alipokuwa analia Bungeni kuwa amebakwa kwa Energy ya Red bullna boksi la viagra hiyo nio Energy kwa manufaa ya wananchiMnalala CCM
Mnaamka CCM
Hamuinadi sera wala ilani yenu kutwa kuchwa ni kushambulia chama kinachotumia mpaka energy yake ya mwisho kwa manufaa ya wananchi.....
Mnalala CCM
Mnaamka CCM
Hamuinadi sera wala ilani yenu kutwa kuchwa ni kushambulia chama kinachotumia mpaka energy yake ya mwisho kwa manufaa ya wananchi.....
Amani iwe kwako.
Yesu alisisitiza Amani hata pale walipomnyima haki yake ya kuishi.
Sikiliza dogo.
Unaposema Amani ni tunda la haki, hayo ni maelezo kutoka kwa viongozi fulani wa dini na kijamii wenye uchu wa kuona damu zisizo na hatia zinamwagika nchini. Hao viongozi (hasa wa kidini) ukiwauliza ni mstari gani wa msahafu unasema hayo hawaujui. Ni sawa na kusema kwamba MUNGU KASEMA JISAIDIE NAMI NITAKUSAIDIA.. ambapo hakuna mahali ambapo kuna mstari unaoelezea hayo
Amani ikiwepo kwanza haki huja baadaye. Huwezi kulazimisha haki iwepo mahala palipojaa udhalilishaji, matusi, mabezo na ghiliba za kishetani huku wakilazimisha uvunjwaji wa sheria kwa kigezo cha kudai haki... haiwezekani haiwezekani haiwezekani..
Amani ni tunda la Upendo
Hata shetani alipomjaribu Yesu alitumia maandikoWewe ni wale viongozi wa dini uchwara wenye kukariri vifungu vifungu?
Ndiyo nyie mnaotutaka tunapopigwa Kofi moja tugeuze na upande mwingine ili mpige tena?
Safari hii moto wake mtauona. kumbe mlizoea?
Safari hii yale ya jino kwa jino na jicho kwa jicho mtayashuhudia. Kumbe ndiyo lugha pekee mnayonekana kuielewa.
Kama wa kulaumiwa ni anayelipiza jino kwa jino lake au jicho kwa jicho lake, basi na iwe hivyo.
Safari hii utamu wa mkuki kwa nguruwe binadamu atauonja.