Nadhani unamaanisha anashindwa kusema kile unachotaka kukisikia wewe..mind you huyu anataka kuwaongoza WaTanzania sio peke yako na ukisema ameshindwa kujenga hoja out of blue inadhihirisha unafiki wakoKiukweli hizi kampeni za kutangaza nia zimeuanika udhaifu wa Membe.
Yaani anashindwa kabisa kujenga hoja
Wewe ni mfuata mkumbo..mizimu ni asili yetu..Watanzania waishio vijijini bado wanafwanafanya matambiko.ni urithi wetu na ni asili yetu huwezi kukwepa..au kwa sababu tumeletewa dini na waarabu na wazungu ndio unaamini hizo ndio bora...kama wewe ungezaliwa India basi its likely ungekuwa unaabudu ng'ombe.. (get tid of the box and think freely)Wenzake wanahimiza Watu waombee TAIFA ..yeye anasema Ana Baraka za mizimu? No wounder..
Wewe ni mfuata mkumbo..mizimu ni asili yetu..Watanzania waishio vijijini bado wanafwanafanya matambiko.ni urithi wetu na ni asili yetu huwezi kukwepa..au kwa sababu tumeletewa dini na waarabu na wazungu ndio unaamini hizo ndio bora...kama wewe ungezaliwa India basi its likely ungekuwa unaabudu ng'ombe.. (get tid of the box and think freely)
Ninakipongeza chama cha CCM kwa huu utaratibu wa kutangaza nia aisee tungejuaje kua tuna Waziri wa mambo ya nje ni kilaza namna hii. ??Aibu
Wewe ni mfuata mkumbo..mizimu ni asili yetu..Watanzania waishio vijijini bado wanafwanafanya matambiko.ni urithi wetu na ni asili yetu huwezi kukwepa..au kwa sababu tumeletewa dini na waarabu na wazungu ndio unaamini hizo ndio bora...kama wewe ungezaliwa India basi its likely ungekuwa unaabudu ng'ombe.. (get tid of the box and think freely)
sasa wewe unataka rais awe kadinali Pengo au Mufti? Serikali haina dini. na sio kila mtu anaabudu kwa imani yako, Tanzania ina Watanzania karibu milioni 50 na kila mtu ana uhuru wake wa kuabudu.Hebu tupisheni huko na matambiko yenu na mizimu yetu mkaifanyie huko huko sio kupeleka mahali patakatifu. Hatuwezi endeasha nchi kwa mambo yenu primitive. Sio ikulu
sasa wewe unataka rais awe kadinali Pengo au Mufti? Serikali haina dini. na sio kila mtu anaabudu kwa imani yako, Tanzania ina Watanzania karibu milioni 50 na kila mtu ana uhuru wake wa kuabudu.
Si unafiki wala si ujasiri bali ni maradhi...maembe anaugua ugonjwa mbaya kabisa ugonjwa wa 'kufikirika' yaani kitu kisichowezekana au kisichopo unakifanya kipo au kinawezekana
Naona mnaocomment mnajifanya great thnkers but truth is wote mamburulaz le akili ndogos wa kufuata mkumbo. Mnajudge entire career ya mtu kwa statement tano.
Hivi hamjui chama ndiyo kina sera na sio mgombea. So hao wengine wanaoongea mnavyodhani vya maana ndiyo hawana kitu kwa sababu mwisho wa siku hawatatekeleza chochote.
Pili wazungu wanasema all publicity is good publicity, huyu jamaa ni mwanasiasi and he made it to foreign affairs minister anajua ni nini anakifanya. Hata kama mtasema kabebwa basi alijua jinsi ya kubebeka manake hiyo pia inahitaji le akili kubwaz na sio kama ambazo naziona hapa. By making those remarks like those which if analyzed well membe is gaining, he is gaining by coming relevant, people talk about him, watakaotumwa kuandika viBlog post vya ajabu kama hivi waandike ila at the end of the day membe atawakaa akilini.
The finaly akishawakaa akilini mtataka kusikia ataongea nini next, na ninavyoona kashatukaa akilini manake kila siku membe this membe that. Then ndio aanze kujenga hoja za msingi ambazo kama angeziongea mwanzo msinge pay attention kwa sababu mlikua hamjui membe ni nani. Hapo ndo mtaanza kusema kumbe jamaa ana akili.
Nadhani unamaanisha anashindwa kusema kile unachotaka kukisikia wewe..mind you huyu anataka kuwaongoza WaTanzania sio peke yako na ukisema ameshindwa kujenga hoja out of blue inadhihirisha unafiki wako