Maajabu ya asali mbichi

Maajabu ya asali mbichi

Ednatha

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
489
Reaction score
666
Habari wadau!
Asali mbichi ni miongoni mwa suluhisho rahisi sana la kuondoa kitambi kwa wale wenye vitambi wasivyovihitaji. Chemsha maji kisha yamimine kwenye glass yenye unga wa mdalasini kiasi cha kijiko kimoja cha chakula, kisha funika glass yako kwa muda ili maji yapoe kidogo na kuwa katika hali ya uvuguvugu kisha weka asali kijiko kimoja cha chakula na koroga vizuri ili asali ichanganyike vizuri na maji. Kunywa yakingali ya uvuguvugu,kutwa mara tatu.
Mchanganyiko huo unasaidia yafuatayo:-
-kuondoa harufu mdomoni
-kupunguza uzito na kitambi
-kuzibua mirija ya uzazi inayoanza kuziba
-kuongeza hamu ya tendo la ndoa
Tatizo linalojitokeza kwa wakazi wengi wa mijini ni namna ya kupata asali mbichi,kwani asilimia kubwa ya asali inayouzwa mitaani ni feki.
Wakazi wa Dar es salaam na Pwani wasiliana nami kwa mahitaji ya asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka tabora.Lita moja yenye uzito wa takribani kilo1.5 ninauza kwa sh.12000/=
 
Piga simu na.0718-257185
wewe si useme tu unauza asali. hayo mengine yote ni porojo tu.
 
Mji huu kila muuza asali atakwambia mbichi hata kama sukarigulu

Ukitaka kujua asali mbichi fanya yafuatayo:-
-chovya njiti ya kiberiti kwenye asali kisha iwashe,kama ni asali mbichi njiti itawaka. Kama ni asali feki njiti haitawaka.
-dondosha tone la asali kwenye mchanga,kama ni asali mbichi hilo tone la asali litajikusanya na mchanga(mchanga utazunguka tone la asali)
-asali mbichi inakuwa nzito,wakati asali feki ni nyepesi
 
Habari wadau!
Asali mbichi ni miongoni mwa suluhisho rahisi sana la kuondoa kitambi kwa wale wenye vitambi wasivyovihitaji. Chemsha maji kisha yamimine kwenye glass yenye unga wa mdalasini kiasi cha kijiko kimoja cha chakula, kisha funika glass yako kwa muda ili maji yapoe kidogo na kuwa katika hali ya uvuguvugu kisha weka asali kijiko kimoja cha chakula na koroga vizuri ili asali ichanganyike vizuri na maji. Kunywa yakingali ya uvuguvugu,kutwa mara tatu.
Mchanganyiko huo unasaidia yafuatayo:-
-kuondoa harufu mdomoni
-kupunguza uzito na kitambi
-kuzibua mirija ya uzazi inayoanza kuziba
-kuongeza hamu ya tendo la ndoa
Tatizo linalojitokeza kwa wakazi wengi wa mijini ni namna ya kupata asali mbichi,kwani asilimia kubwa ya asali inayouzwa mitaani ni feki.
Wakazi wa Dar es salaam na Pwani wasiliana nami kwa mahitaji ya asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka tabora.Lita moja yenye uzito wa takribani kilo1.5 ninauza kwa sh.12000/=
Piga simu na.0718-257185
Mkuu Ndohu, mimi ntakuuzia asali kwa shs.9,500/kg(Lita) kama utanunua kuanzia kg/Lita 5-10, na below 5 nitakuuzia shs.10,500. PM kwa order tu,napatikana Dar-pure asali ya Tabora.
 
Hii Promo ya KUUZIA ASALI ni sawa kabisa
lakini eti inatibu magonjwa kadhaa, mara Kitambi mara kuongeza hamu ya tendo ni UONGO MTUPU

MM sasa nina asali ya nyuki wadogo toka Tabora tena mbichi kabisa
ni nzuri kwa afya, lkn km na kitambi na maonjwa mengine wahi mazoezi ikishindikana muone Dr Hospitali

Mkuu ninauhakika na nilichokiandika kwani shuhuda ni mimi mwenyewe na si wa kusimuliwa!
 
Mkuu Ndohu, mimi ntakuuzia asali kwa shs.9,500/kg(Lita) kama utanunua kuanzia kg/Lita 5-10, na below 5 nitakuuzia shs.10,500. PM kwa order tu,napatikana Dar-pure asali ya Tabora.

Asante kwa offer! Ila mimi sinunui kwa mtu narina kutoka kwenye mizinga ya nyuki niwafugao.
 
Unawakubali akina nani? na kivipi?
Mkuu naubaliana na wewe kabisa km unawafunga nyuki na unarina Asali
Mimi nana ndugu zangu wawili wanafuga nyuki ambao hawaumi kabisa mmoja yupo Maswa ni Mwl na Mwingine ni Mh Mizengo Kayanda Peter Pinda, na hizi asali zina makundi yake kutokana na maua wanayoyatafuta
  • wapo wanaotafuta kwenye ukame km Kanda ya Dodoma na Singida ambapo wanafyonza hata ktk maua ya mibuyu na michongoma
  • wapo nyuki wadogo sana katika pori la Tabora kuanzia Nyahua mpaka Urambo
  • wapo nyuki wakubwa wa mapori na misitu yenye maua na mimea ambapo asali yake ni bei rahisi kuliko ya nyuki wadogo.
images

Nawashuuru walioniPM nitwapa anwani za asali ziznazotoka Dodoma wao watatafuta masoko lakini kwenye matibabu nitawadabganya kwani ni kweli wanatubu hayo magonjwa km atakuwa amebeba Necta ya mtu dawa wa PUMU

kwa hiyo bado mleta mada namshukuru na aendelee kuitangaza maana hata uki Google utaambulia mengi na jinsi inavyotengenezwa licha ya soko
 
Mimi ninayo ya kutoka Inyonga, lita moja sh 8,000 zimebaki lita 20 tu
Kwanini bei chini, nilipata usafiri wa bure na pia nataka kumaliza mzigo.
 
Inyonga ndo wapi mkuu?
 
Inyonga ndo wapi mkuu?

Ni kati ya Sikonge na Mpanda. Kuna beekeepers tuliowatrain ndio nilipochukua hiyo asali kwao, tena walikuwa wanajiaandaa kupeleka kwa maonesho.
Unahitaji?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom