Ni kweli ina nesanesa we ndk upo ndumu, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]asee wewe naona hata hujaona wewe ndio umepuliza bangi
Mbeya kuna maajabu hapa angalia ardhi inayonesa
Hipo = [emoji735]
Ipo = [emoji3514]
Mmebakia kuropoka tu,hivyo vivutio mbona havijaisaidia nchi kuepuka umaskini?Tanzania tuna vivutio vingi sana
Chinu? Ndo nini mkuu,Hapo chinu kuna maji.acheni ushamba.hata huku kwetu hipo