Kwa hiyo unamaanisha kuwa Mungu ni mkatili, muuaji na anasababisha mateso na maumivu kwa binadamu aliowaumba yeye mwenyewe? Mi siamini hivyo, Mungu nimjuaye mimi ni mwenye huruma, anaponya mwenye subira ndio maana alituletea Yesu kuonyesha upendo wake kwetu ili tupate kuokoka. Na alisema kwamba hataiangamiza tena dunia hata kama kama akibaki mtu mmoja tu asiye na dhambi.