mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana JF,
Ukisikia Mkuu wa nchi anawasema wanaokwamisha mipango ya kuingiza pesa, kiukweli hawa watu wa IT TRA walitakiwa wawe wamefukuzwa kazi, kwa muda wa siku tatu, hakuna access ya kuingiza control number za kulipia kwa watu wa ingizo jipya wanaoomba TIN Number, waweze ku-transfer card, pia wanaokata lessen mpya za magari na pikipiki. Hili linakwamisha ingizo jipya la pesa Tanzania mzima.
Mimi nimeshinda TRA siku ya tatu watu wanaonunua magari na kubadirisha kadi wamepata hasara kwa wateja wao na kuzusha ugomvi mkubwa kwamba uenda ni gari za kitapeli, kwa nini transfer ichukue muda hivi. wengi wamerejesha magari wenye roho nyepesi kwa kuogopa kadhia hii.
Mkuu wa TRAanatakiwa kutupia jicho kwani makao makuu vijana wa IT ukiona kuna matatizo jua kuwa wanasababisha matafaruku mkubwa kwenye jamii inayofanya biashara