maajabu toto africa

Simon sinkala

Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
6
Reaction score
1
ukiskia kwenye msafara wa mamba na kenge wamo ndio hii, timu ya mpira wa miguu ya jijini mwanza toto africa, ipo katika hati hati ya kushuka daraja, wachezaji wana miezi kazaa neno mshahara kwao ni geni kabisa, leo hii wameokota pochi la mzungu, kwenda dar wamepanda ndege, wakati moja ya sababu zinazo changia timu kufanya vibaya ni wachezaji kuto kulipwa mishahara. Je wanadhani kuwadanganyishia ndege watarudisha morali ya wachezaji?
 

Ukipanda fastjet ni rahisi zaidi kuliko basi hivyo wasave nauli mkuu
 
Ukipanda fastjet ni rahisi zaidi kuliko basi hivyo wasave nauli mkuu

Hii ni kwa mujibu wa matangazo,lkn ukifika pale kwenye ofisi zao unaweza kukutana na hadithi ya tofauti kabisa,in most cases price zao na za Precision ni kama Pua na Mdomo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…