Maajabu Tanzania, nchi yenye vyanzo vingi vya maji lakini 30% ndio wanapata maji Safi na salama

Naam Mkuu huu ndiyo ukweli halisi. Adui nambari one wa Watanzania si ukosefu wa elimu, si umaskini, si magonjwa bali adui mkubwa wa maendeleo ya Tanzania na Watanzania ni hiki chama cha wahuni, majangili, watoa na wapo kwa rushwa, wezi na mafisadi.

Mchawi wa Tanzania ni CCM na watu wake.
 
Naam Mkuu huu ndiyo ukweli halisi. Adui nambari one wa Watanzania si ukosefu wa elimu, si umaskini, si magonjwa bali adui mkubwa wa maendeleo ya Tanzania na Watanzania ni hiki chama cha wahuni, majangili, watoa na wapo kwa rushwa, wezi na mafisadi.
Kweli Muu
 
Na fisadi mkuu atanyooshwa hivi punde
 
Mleta mada hiyo asilimia ya upatikanaji wa Maji TZ umeipata wapi? Source Yake ni nini? Maana naona umei over state Kwa sana ! Asilimia yenye kupata Maji safi na mifumo ya Maji taka ya Dawasco and the like honestly iko less than 10 % Kama siyo less than 5% for the matter of facts!
 
Ndiyo tunaoona ndege zinanunuliwa wananchi tunabaki kujiuliza inamana kati ya Maji Na ndege Au kuhamia Idodomya kipao mbele kinapaswa kuwa ni nini? Ni aibu na fedheha over 55 years of Independence public utilities zote zimekuwa zikiwafikia wachache tena Kwa mashaka, Umeme Kwa mfano asilimia inayo pata ni less tha 25% na % ndogo bado upatikanaji wake wa Umeme siyo wa uhakika throughout the year
 
Chukulia Dar Kwa mfano fanya random sampling, takwimu za hivi karibuni zinaonesha Dawasco wako na wateja 200,000/- sasa chukulia hizo ni Sawa na familia ngapi Kwa wastani, mathalani kila familia iwe na Watu 5 utapata 40,000 Dar ina idadi ya Watu takriban 6,000,000 ukigawa Kwa wastani wa familia ya Watu 5 utapata familia 1,200,000 sasa naomba ukitafufuta asilimia hapo ni wazi utapata 3.3% ambayo ni less than 5% , chukua mikoa mingine mikubwa michache yenye Watu wengi halafu tafuta weighted average almost utapata ya karibu na DSM sababu population Yake iko of high significant compared to others
 
Back
Top Bottom