Maajabu: Kutana na mwanaume aliyetembelea mbinguni mara nne na kuchora ramani

Kama alikwenda mbinguni inamaana alikufa kwanza kwa hiyo inamaana alikufa mara 4??? mi nahisi huyo jamaa hana tofauti na KIGWANGALA rais wa ccm
 
HATA Manabii wakati wanaanza kujitokeza kwenye jamii walichekwa, tukanwa na kubezwa zaidi ya hivi, Lakini at the end walikuja kuthibitisha Ukweli Wao Kivitendo....!!!

Lakini kwa huyu, duh! Cheki kwanza hilo POZI alilokaa, Ukimwangalia vizuri unamwona kabisa ni DUDE mtupu!!!!

I am not supporting this nonsense Anyway.... Binadamu tumejawa na frustrations za maisha sana, duh!

Malimwengu,though dont judge the book by its cover,Sina uhakika na habari yenyewe,kila mtu sasa anaweza kuadika na kutuma habari zake kwa jamii,kazi ya wasomaji ni kuchuja habari zenywe ndio uzuri wa uhuru wa kuandika habari bila referee.Source ya habari nayo ni ...........
 
kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni .Kenya kuna mwingine anajiita Mungu na ana kanisa lake ila kwenye ufunuo wameyazungumza yote haya ya kina nabii tito

Yule anayejiita Mungu ndo ana maskhara makubwa, nilicheki video yake sikuamini nilichokiona, inaelekea hizi ni dalili za mwisho.
 
we could all amini angechukiua hata selfie kadhaa za uko....... ha ha ha
 
Masikini! Maisha magumu sana wehu wanaongezeka kila siku. Wamuwahishe kwa wana psychology mapema
 
Mimi nafikiri la msingi hapa tukubaliane kwanza mbinguni ni wapi na kama mtu anaweza kwenda na kurudi na aina ya usafiri unaotumika kwenda huko vinginevyo tunapoteza muda.

Wajinga tu ndio wanaoweza kufikiri jambo linawezekana.It's completely against BIble teachings.
 
Back
Top Bottom