tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,241
- 4,466
Kuna mambo fulani ukiyafikiria unaishia kuhuzunika tu. Ukienda University Computing Center ya University of Dar es Salaam, kama unataka usajili Domain Name kupitia UCC, unapaswa kujaza form iliyoko kwenye word format, kisha uwatumie.
Ati hizi ndio taasisi za serikali zinazopaswa kutuondoa kwenye Umaskini. Ngachoka.
Ati hizi ndio taasisi za serikali zinazopaswa kutuondoa kwenye Umaskini. Ngachoka.