Maajabu kumi ya tango kiafya

Maajabu kumi ya tango kiafya

Tango ni kitu cha ajabu sana, kuna mda niliamua kunywa juisi yake grasi kama 5 hivi usiku nilipata shida sana, kila nikishtuka nilikuwa nakuta nimelowa chapa chapa kama vile nimetoka mtoni. Mwanzo sikuelewa lakini nikagundua hii hari ilikuwa inatokea kila nilipkuwa nikitumia ile juisi ..nahisi inafanya kazi kubwa sana mwilini.
Mkuu Hii juisi yake unalimenya au Na maganda yake? Unaongeza sukari ama? Naomba kujuzwa.

Nalog off
 
Kuna siku nilikata tongo vipandevipande nikavitia kwenye maji nikaviacha nusu saa kisha nikaoga.Jamani nilipendeza kama binti ilibakia kidogo nitongozwe.
 
chumvi ni kemikali nyingine,itaenda kuleta mushkel,nakushauri usiitumie
nilijaribu jana kutengeneza nikachanganya na asali mbichi je nayo inaleta mshkeli au inatakiwa yenyewe kama yenyewe, vile vile una group lolote la whatsapp unalifahamu la kufahamishana mambo ya vyakula na hasa hii tiba mbadala, nitashukuru
 
Unaposema kuloa sijaelewa kivipi yani,jasho au, na juice yenyewe tupu au unachanganya na maji, nifahamishe mkuu

Kulowa jasho mkuu, naitengeneza kwa kuchanganya na maji kiasi ili kubalansi uzito wa juisi yenyewe
 
nasikia na nimesikia zaidi ya mara 4 kuwa ukila tango na kulamba asali unakufa.
je hii imekaaje wataalam ufafanuzi plz nn huwa sumu na kwanini??

kaka wazushi tu mie jana mbona nimengeneza juice ya matango na nikachanganya na asali nimekunywa na nipo ngangari tu mpaka sasa hivi nakunywa na asubuhi nimeimalizia hapa nipo kazini fresh, basi ningekufa jana usiku
 
kaka wazushi tu mie jana mbona nimengeneza juice ya matango na nikachanganya na asali nimekunywa na nipo ngangari tu mpaka sasa hivi nakunywa na asubuhi nimeimalizia hapa nipo kazini fresh, basi ningekufa jana usiku

Hiyo juisi unatengenezaje ya matango?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom