SWEEPER
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 269
- 87
Eti hawa nao bado ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa tovuti ya Bunge;
1. William Mgimwa (Mb) jimbo la Kalenga
2. John Damiano Komba (Mb) Jimbo la Mbinga Magharibi
3. Zitto Zuberi Kabwe (Mb) Jimbo la Kigoma kaskazini
4. Bwanamdogo Ramadhan Said (Mb) Jimbo la Chalinze
Hii ni taasisi kubwa na ni Mhimili mmojawapo wa Dola hebu acheni uvivu.