Maajabu jamani

jisome

Senior Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
108
Reaction score
94
Jaman Jana nilienda kijijiflan kutembelea ndugu ila maajabu nilio kutana nayo nikama hivi ,,,, kuna kimlima flan hivi kipo kijijini hapo ambacho ukifikapo rangi ya ngozi ya mwili wako inabadilika nakuwa njano ila ukisha vuka sehem hiyo unarudi kwenye rangi yako ya kawaida kiukweli ni moja ya maajabu ambayo nimeona Mara ya kwanza kabisa kama kuna wataalam naomba mnisaidie kunitia ushamba hali hii inasababishwa na nini naomba kuwasilisha
 
Hik yawezekana sio kivutio cha watalii bali hapo ni nyumba ya mapepo.
Kama sio hivyo basi hapo pana aina fulani ya madini yanayotoa nuru kali
 
Huyu itakuwa ameingia kwenye chumba cha X-rays[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hivi hata yule Mh. Fulani aliyekimbilia Canada na amepewa ubalozi nadhani pia alipanda hako kamlima maana naona dalili za kubadilika rangi na kuwa wa manjano..

Nadhani nimeanza kumuelewa mleta mada.
 
Huo mlima ni jukwaa la muziki la diamond au kiba?
 
Hik yawezekana sio kivutio cha watalii bali hapo ni nyumba ya mapepo.
Kama sio hivyo basi hapo pana aina fulani ya madini yanayotoa nuru kali
Hadi mapepo siku hizi yana nyumba?
Hiyo ya pili naweza kubaliana na wewe japo kwa shingo upande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…