Maajabu huko China...

LINCO

Member
Joined
Dec 16, 2015
Posts
34
Reaction score
13
China inatarajiwa hivi karibun kukumbwa na hali ya baridi kali katika kipindi hiki cha masika licha ya hayo yote kumetokea vitu vya kuastaajabisha kutokana na watu mbalimbali nchini humo kufanya michezo ya hatari kwenye barafu iliyoganda
Mwanamke akiogolea kwenye mto Songhuajiang ulioganda kwa barafu wanajeshi wakifanya mazoezi kwa kutumia barafujamaa akicheza bao akiwa ndani ya box lililojaa barafu
 
Wachina ni mwisho wa matatizo

Duc in Altum
 
Hivi huko kipindi hiki friji si hazina soko ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…