Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,484
- 29,964
Kwani kunaubaya gani akijiita Baba mtakatifu!
Wakuu,,,
Nikiwa nimejipumzisha home huku nikitafuta steshen murua ya Radio ili kusikiliza kusindikiza usiku wangu vyema mara nikakumbana na Radio hii inayoitwa NYU Radio ama (Ngurumo ya Upako Fm )
Kwakuwa nilikuwa sijawahi isikia hii redio kutokana sikuwa nipo Arusha kwa muda mrefu ilibidi ni stop hapo ili kuisikiliza...
Wakati naendelea kusikiliza kulikuwa na kipindi nafikiri cha Ushuhuda mbali mbali kwa waumini wa Nabii Geo Davie....
Basi muumini mmoja akawa anatoa shuhuda zake jinsi alivyo guswa na mahubiri ya Kadinali wa kanisa hilo..
"Yani Fan J natamani Baba, Mh, Dr. Nabii Mkuu Geo Davie angechagua hata Makadinali wengine 10"
Hakika nilistaajabu sana..
My take:
Haya makanisa yaache kuiga hata mambo mengine ambayo hayawahusu...Kwa mtindo huu huyu Nabii karibuni ataanza kujiita Baba Mtakatifu (Papa Geo Davie)...
Huo ni uamuzi tu, hata wewe waweza jiita kadinali hakuna maandiko yaliokataza kujiita hivyo, kama watu wanavyo jiita mitume ndio hivyo hivyo waweza jiita Baba mtakatifu.Inaonesha wewe pia ni muumini wa Mh, Dr, Babii Mkuu Geo Davie.....
Kabla sijakujibu hebu niambie kwanini huyo Nabii wenu ana Makadinali...?
Hata akijiita baba mtakatifu ila sio mtakatifu kwa maana hata huyo anaejiita baba mtakatifu ni msanii tu kama huyo wa Arusha,mtakatifu ni Mungu.
Mungu akusamehe tu hujui unenaloHata akijiita baba mtakatifu ila sio mtakatifu kwa maana hata huyo anaejiita baba mtakatifu ni msanii tu kama huyo wa Arusha,mtakatifu ni Mungu.
Hakuna anayejiita Baba Mtakatifu....Papa huitwa Baba Mtakatifu kwa kuwa mambo anayoelekeza/kuyasema ni matakatifu....Halafu kwann unasema ni msanii...?
Halafu hujui kuwa Mungu hupendezwa na watakatifu wa Duniani..!
Biblia inasema wala msimwite mtu baba na hakuna binadamu mtakatifu wote wana dhambi.kwani hujui kwamba jamaa ni msanii? Nenda google kisha search satanic symbols utakuta jamaa ni illuminant mkubwa.tena ana chata kwenye vazi.
Pia nasikia ana Mabalozi wa kumuwakilisha katika nchi mbalimbali...Sasa sijajua ni nchi gani hizo..
Biblia inasema wala
msimwite mtu baba na hakuna binadamu mtakatifu wote wana dhambi.kwani
hujui kwamba jamaa ni msanii? Nenda google kisha search satanic symbols
utakuta jamaa ni illuminant mkubwa.tena ana chata kwenye vazi.
Hata akijiita baba mtakatifu ila sio mtakatifu kwa maana hata huyo anaejiita baba mtakatifu ni msanii tu kama huyo wa Arusha,mtakatifu ni Mungu.
Hilo tu? Ana msafara wa range zaid ya hamsin unaoongozwa na ving'ora na kulindwa na helicopter yani hata mikutano yake ni chopper inazunguka angani
Unaweza tuwekea ushahidi wa picha.ukipata picha ya msafara wake na choper ikiwa angani itakuwa poa zaidi
Hata akijiita baba mtakatifu ila sio mtakatifu kwa maana hata huyo anaejiita baba mtakatifu ni msanii tu kama huyo wa Arusha,mtakatifu ni Mungu.
Hata akijiita baba mtakatifu ila sio mtakatifu kwa maana hata huyo anaejiita baba mtakatifu ni msanii tu kama huyo wa Arusha,mtakatifu ni Mungu.