Maajabu 21 kuhusu Afrika

Licha ya uchumi wa Ethiopia kukua kwa kasi ndio nchi Raia wake wamekuwa wakikamatwa na wengine kufia kwenye makontena wakijaribu kutoroka Nchini mwao kutokana na ugumu wa maisha!
Au nina sema uwongo wajameni!
Hata Mexico ipo kwenye 15 bora ya nchi zenye uchumi mkubwa duniani lakini wananchi wake kila siku wanakimbilia US.
 
Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo wananchi wanailamikia serikali kwa matatizo yanayotokana na uzembe wao
 
hapo kwenye elimu tunakoelekea ni kubaya niliwai kutana na pisi kali kinyama alafu haijui kusoma wala kuandika nikajiuliza anaishije kwenye jamii how does she survive
Wako wengi sana hao!
 
Nimeipenda hiyo no.9,hapo ina maana hakuna kukutana na mke wako mpaka mtakapofunga ndoa,kwahiyo ile mambo ya kusema ngoja nimuonje kwanza haipo...
 
hapo kwenye elimu tunakoelekea ni kubaya niliwai kutana na pisi kali kinyama alafu haijui kusoma wala kuandika nikajiuliza anaishije kwenye jamii how does she survive
JPM

Haya Hapa Kisarawe Kuna Mteule Wangu
Kazi Yake Ni Kutongoza Wake Za Watu
Tumemuonya Hasikii!πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€

Waziri Wa TAMISEMI
Upo Hapa, Huyu Mteule Wangu Umpangie Kazi Ya Chini Kabisa. πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜‚
Nitafuatilia Kujua.

........................................................
Apumzike Kwa Amani
Amelala Mauti
Tutamkumbuka Sana JPM
πŸ˜ΆπŸ˜‘πŸ˜πŸ€¨
 
wabongo umbea wa hivi ndo tunapendaga. vitu ambavyo havina maana yoyote
 
Maajabuu na sio rais wa sasa labda ungeniambia ni hariri iwe hayati
Haya ni maajabu mengine, siyo hayati bali aliyekuwa rais wa Zimbabwe ndipo linafuata neno hayati.

Mfano; Aliyekuwa rais wa Zimbabwe hayati Robert Mugabe.
 
Dola leo ni zaidi ya sh.2000 za Kitanzania bandiko litakuwa la 2013 huko.
 
hapo kwenye elimu tunakoelekea ni kubaya niliwai kutana na pisi kali kinyama alafu haijui kusoma wala kuandika nikajiuliza anaishije kwenye jamii how does she survive
Anauza sura huyo ndio kuishi. Ingekuwa mwanaume, loh ingekuwa balaa, hata kazi hupati ata uwe handsome vipi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
✌️
 
Hata Mexico ipo kwenye 15 bora ya nchi zenye uchumi mkubwa duniani lakini wananchi wake kila siku wanakimbilia US.
Kwanza sahi tangu Biden awe rais wa Marekani, dah wanaenda border ya US/Mexico kama wote, yaani hawataki kuishi kwao kabisa. Lakini yaeleweka, huko kwao hatari sana kuishi, cartels wale hawapishi hata Jeshi la nchi linauoga nao. Waamerika wazungu wale racists sahi wamenuna, hawataki Mexicans kwao πŸ˜‚
✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…