Maajabu 2013Ooo

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,084
Reaction score
12,329
Jamani maajabu mwakahuu. Sijui mkosi au balaagani mwenzenu linani nyeme lea. Maana tangu uanze mwaka huu ni matukio ya ajabu na nisio wahi kutegemea maishani mwangu. Mwezi wa pili (tarehe siikumbuki) nikiwa zangu Tukundane Pub (Yombo) aliingia mshikaji mmoja simfaham hani faham ni mtanashati anaonyesha kwao maisha laini, alikuja meza niliopo na kunisalim kisha aka kaa meza moja na mimi. Baada ya maongezi ya muda mrefu huku kila mtu aki endelea kuagiza kwa fedha yake ghafra jamaa aka badili maongezi kwa kuniomba msamaha kuna inshu anataka anipe tena ni yamaana kama tuki fanikisha, nika piga fundo moja na kujianda kwa kupokea inshu. Pumbavu kumbe jamaa Shoga halina lolote linataka lichimbwe mavi. Nilitoka pale nisiamini kilicho nikuta na kuapa sinta kwenda tena Pub ile. Jana nikiwa na mkewangu tukitokea ukweni (kwa wazazi wake) baada ya kushuka ndani ya bodaboda, hatua kama chache kufika nyumbani ghafra alitokeza kijana mmoja shupavu anavyoonekana atakua mnyanyua chuma kwajinsi alivyojazia kifuani, lila alipo tukaribia nilihisi si mtu mzuri (kibaka) kwa stil yake ya utembeaji (alikua akinesa nesa) ghafra tulpomkaribia jamaa akachomoa panga na kutu tuliza kwakua sio mtu wa mazoezi nilimwambia mkewangu tutulie. Chaajabu jamaa alimwamuru mkewangu akimbie, kwakua mkewangu ana mtoto mgongoni nika mwambia aende nyumbani (sio mbali na tulipo kua) baada ya kuondoka mkewawangu jamaa akaanza kunipiga na ubapa wa panga huku akini ambia kua atani achia kama nita fanya atakalo. Siku amini jama alipo vua pens yake huku akicheki huku na kule nakuniamrisha nimkate bao haraka maana huo sio MKND wa *****. Nashukuru nili kimbia na kumuacha aki hangaika kuva pens yake, ila nasikitika kwakuangusha sim na saa yangu na namshukuru mungu kwa kumshinda ibilisi. Nimebaki nikiji uliza nina mkosi gani mwaka huu?
 

mhhh

:shock::shock:
 
Itabidi uende ukaombewe pengine una pepo wewe sio bure lol
 
Pole sana mkuu,epuka kutoka usiku kwa kipindi kirefu kidogo ili akili yako itulie kwanza,kingine nenda ukaombewe hilo ni pepo siku nyingine watakukula wewe
 
au na wewe una Element za ushoga ndo ndo maana wanakufuata ww tu ?? mbona wengine hawafuatwi?
 
Kuwa makin watakumegemunya wewe ndio inayofata popote kuwa kimachale machale... Kama popobawa mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…