Maajabu 10 ya CHADEMA

Mkuu, maendeleo hayaji tu kama mvua. Yanahitaji mipango thabiti na makini. Ndio maana mpaka sasa CHADEMA hamna maendeleo yoyote licha ya kupata fedha nyingi za ruzuku. Maendeleo hayaji kwa kuwa na fedha nyingi bali ni mipango thabiti na mikakati ya kuitekeleza
 
Nikiangalia hayo maajabu hakuna hata moja la kweli.Na pili hakuna mahali CCM ilipojenga ofisi miaka 50 sasa.Hayo majengo mnayoyatumia ni majengo ya serikali.
Wa najua basi si wanaropoka tu
 
mkuu, umemeliza kila kitu hata sina cha kujazia Nyama Tena, BG UP.
 
Naona ivo ndio viwanda mlivohaidi chama cha Ma pusapu
 
Nikiangalia hayo maajabu hakuna hata moja la kweli.Na pili hakuna mahali CCM ilipojenga ofisi miaka 50 sasa.Hayo majengo mnayoyatumia ni majengo ya serikali.
Hahahaaaaa.....Serikali chini ya Ccm...we vepeeee
 
Umesema majengo yote ni ya chama na serikali!??? Sasa chama gani kama cy CCM?? Ukawa hadi mje mlie meeee....ndo labda mtaongoza nchi
 
Hahahaaaaa.....Serikali chini ya Ccm...we vepeeee

Na mali za serikali zikaporwa ile dhambi ya uporaji ikaingi mpaka kwa wanachama wake.Hili nalo ni ajabu kubwa sana la CCM
 
Maajabu ya CCM: Kutawala kwa zaidi miaka 50 huku nchi ikiwa itepotea kwenye umaskini kwa kutisha...!!!
 
Umesema majengo yote ni ya chama na serikali!??? Sasa chama gani kama cy CCM?? Ukawa hadi mje mlie meeee....ndo labda mtaongoza nchi

Hakuna kitu hapo.KUna siku mtayarudisha yote hayo.Na kama kulia Meeeeeeeeeeeeeeeeee UVCCM na wanachama wa CCM ndiyo mnalia.Siye wengine tulishajua Dodoma wine ni ile ile hata ikiwekwa kwenye glass mpya ni ile ile.
 
Ninachofahamu ni mapenzi yakisukuma!!inatakiwa nguvu!hiyo sio hoja! Ngumu kumpata bwana badili Mbinu!!!
 
Kuwapa majina mabovu watu wanaorudi kundini eti " ngombe wenye mikia iliyokatwa"
 
Kushindwa kulipa madeni sugu huku chama kinaingiza ma millioni ya ruzuku kila mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…